usingizi wa kawaida ni usiku lakini kama una shughuli ya usiku ulilala mchana haikatazwi.Muhimu uwe na muda wa mapumziko angalau mara moja kwa siku.Kwanini usiku huwezi kufanya kazi za ziada ukaongeza kipato?
Aisee wananchi wanashughulika na vitu vya kipumbavu kabisa.Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Zijazungumzia usingizi nmezungumzia ngonousingizi wa kawaida ni usiku lakini kama una shughuli ya usiku ulilala mchana haikatazwi.Muhimu uwe na muda wa mapumziko angalau mara moja kwa siku.
Iwapo unaangalia mechi kila wakati utapata wapi huo muda wa kuongeza kipato.
Mwanafalsafa mzuri. Vyote ulivyovitaja kama mfanano na mpira bado havilanganiki na mpira.Ukifanya ngono kwa mke wako ni halali na huenda mkapata mtoto.Ukienda kuangalia wanyama unaburudika na kupata mazingatio na kunoa akili yako.Pesa uliyotoa huko inalipa kabisaHata ufanye kazi vipi,mwisho wa siku mwili unahitaji burudani. Sasa hapo kwenye burudani kila mtu anayo ya kwake, kama ifuatavyo; kuna wapenda mpira, sinema, vinywaji mbalimbali, ngono, safari, utalii sehemu tofauti zikiwemo mbuga za wanyama, muziki, disco, kuogelea, kula, kulala etc...!! Na burudani hizo zina gharama tofauti tofauti. SASA WEWE UNADHANI STAREHE NI WOTE TUPENDE UNAVYOVIPENDA WEWE..!!
Hata starehe yako ikiwa ni savvanah, bado wenzio watatia pesa uliyonunulia savana mfuko, hata upende kwenda mbugani, bado utalipia kuwaona wanyama, utalipa nauli chakula, kulala etc na hivyobado wenzio watatia pesa mfuko. etc kifupi hakuna cha bure. Hivyo kutuambia kuwa .. nanukukuu.. "Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele" .. Mwisho wa kunukuu, ni yale yale tu..!!
BTW, hata kama huangalii au huzungumzii kuhusu mpira, kipo kitakachokupa matokea sawasawa na anayezungumzia mpira. Mtatofautiana namna matokeo hayo yanavyowajia..!!
Hii ni sawa na wale wanaowasema wanaokunywa pombe kwamba wakiacha pombe, kwa mwaka mmoja wanaweza kununua gari, WALIPOULIZWA KAMA WAO WANAKUNYWA, WAKASEMA HAPANA, HAWANYWI, WALIPOAMBIWA WAONYESHE MAGARI WALIYOYANUNUA, WAKABAKI KUTOA MACHO TU..!!
Nakubali kabisa. Hata mimi ni shabiki mkubwa wa kandanda. Lakini kwa Tanzania hali ni mbaya. Tatizo ni kuwa mpira unatumika kama kitu cha kupumbaza raia wasijielewe. Hili ndilo linafanya nimuunge mkono mwanzisha thread. Mpira wa Bongo unatumia na watawala kufanya raia wasijitambue.Mpira ni moja ya starehe Faza inaonekana sio mpenzi wa mpira ndio maana unashangaa watu wakijadili mpira...
watawala kujikomba kwa raia kwa mtazamo wa uchaguzi.Mabwanyenye wanaona ni fursa kuwakamua wajinga wafe kabisa ili wao waneemeke na wasitoke kwenye guiness book of recordsNakubali kabisa. Hata mimi ni shabiki mkubwa wa kandanda. Lakini kwa Tanzania hali ni mbaya. Tatizo ni kuwa mpira unatumika kama kitu cha kupumbaza raia wasijielewe. Hili ndilo linafanya nimuunge mkono mwanzisha thread. Mpira wa Bongo unatumia na watawala kufanya raia wasijitambue.
😁😁😁 akifanya kama unavyomuelekeza,ataua hukohuko bandani.Hii thread tu,imevamiwa hivi,je angeonekana?We uko hapa kusengenya huna unachopata zaidi , ukitaka wakuelewe wafate kwenye hayo mabanda uwaambie
Hakuna mtu anaependa mpira alafu akaacha kushabikia huo ni uongo, hupendi mpira tulia usijone wewe ni bora kuliko wanaopendaNimesema niliwahi kupenda halafu nikaona ujinga nikawacha.Naamini na nyinyi iko siku mtatia akili muwe kama mimi.
Mpira Tanzania hata hawaupendi kama mnavyodhania mkitaka kujua pana Nchi mpira kwao ni kama dini nenda Brazil,Argentina au shuka hapo Liverpool na Santiago hata Italy pia unakuta Mbibi kabisa ana Tiket za gemu na haumwambii kitu kuhusu Timu yake...watawala kujikomba kwa raia kwa mtazamo wa uchaguzi.Mabwanyenye wanaona ni fursa kuwakamua wajinga wafe kabisa ili wao waneemeke na wasitoke kwenye guiness book of records
Kwa mpira mimi najifaharisha kuwa ni bora sana kuliko wote wanaoushabikia.Nimekutana nao wengi ndio maana nikaamua kuja hapa leo.Wanatia huruma sana.Unawaona hivi hivi wanaishi maisha ya wasi wasi sana.Pesa na kula wanataka na huku mpira hawataki uwapite.Kila wakati ni kuwehuka wehuka tu.Hata wakiingia chooni hawamalizi haja vizuri.Akisikia ukelele anatoka haraka akaulize nani kapigwa ngapi.Mimi nimejibanza nawaangalia tu.Hakuna mtu anaependa mpira alafu akaacha kushabikia huo ni uongo, hupendi mpira tulia usijone wewe ni bora kuliko wanaopenda
Imesikitisha sana mechi ya juzi,Taifa stars na Algeria, kwenye takwimu za umiliki wa mpira (ball possession) Algeria 80, Tanzania 20.Timu zenyewe sasa ukijumlisha zote upati timu moja,wako kama vichaa
Iwezi fika mbali.Imesikitisha sana mechi ya juzi,Taifa stars na Algeria, kwenye takwimu za umiliki wa mpira (ball possession) Algeria 80, Tanzania 20.
Imepita darasa moja!Mkuu tumeandika karibu sawa kwa pamoja bila kuwasiliana.
Armchair thinkers!Utafanya mapinduzi ya kiuchumi na kisayansi bila fikra!?..utakaa kutwa unafikiri!?
Hakuna moto.Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Na Bado unasema Mungu hayupoMkuu tumeandika karibu sawa kwa pamoja bila kuwasiliana.
This logical fallacy is called non sequitur.Na Bado unasema Mungu hayupo