Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Usinifokee, mtu Kama hakuombi msaada wako ya Nini kujisumbua na maisha Yake.Acha kila mtu aishi maisha Yake
Hii kitu hakiwaathiri mashabiki peke yao.Kina maambukizi mengi katika jamii.Majirani hawalali kwa raha.Zinakuja sauti za kushtukizia watu wanashangilia goli.Kibaya zaidi wakati mwengine tuko katikati ya swala watu nyumba ya jirani wanachanganya sauti zao na za kisomo cha Imamu.Kipi kitaondosha ghadhabu za Mwenyezi Mungu hapo.
 
Acha ulofa wewe wengine sisi mpira umebadilisha maisha yetu na tunapesa sababu ya betting Sasa wewe umekaa hapa kiboya unaongelea mchezo unaotuingizia pesa duniani acha ujinga fata mambo Yako mpira ni Kwa sisi wanaume ukiona mtu anapinga mpira ujue shoga au demu
 
Tofauti ni ndogo kubeti Uingereza itamfunga Ukrain na tapeli ataingia motoni akiondoka Duniani.....
mwisho wa siku Odds za ile ya Kwanza ni 1.17 hii ya pili ni zaidi ya milioni....
 
Wanaume wanaoshangilia wanaume wenzao ni rahisi sana kuwa mashoga.Siku akipapaswa na yule anayemshangilia basi atacheka cheka na akisogelewa zaidi anajilegeza.Mwanamme umevaa vizuri huwezi kushangilia wachezaji wanaume wenzako na ukasalimika.
Angalia sana huyu rafiki yako
 
 
Fuatilia redio na televisheni nyingi.
Kwenye vipindi vya michezo na hasa mpira wa miguu ambapo wanatumia muda mwingi kwenye uchambuzi.
Fuatilia muda unaotumika kwenye kilimo, biashara na ujasiriamali.
 

Na bia ni 1500/-..

Watu wanaingia bar wanatazama mpira na kunywa bia comfortably....
 
....Ndio maana Bandari inaondoka hawana habari !
.... Ndio maana Nchi inauzwa hawana habari !
....Ndio maana Wamasai wanasumbuliwa kama Sio Nchi Yao, wanajitia haliwahusu !!

....Waambie kuhusu Yanga au Simba Uone wanavyoishupaza Mishipa ya Shingo !!! [emoji35][emoji35]
 
Mimi huwanafuatilia kombe la Dunia tu.
 
Maskini wewe,unafikiri Kila mtu kapuku kama wewe,
 
Fuatilia redio na televisheni nyingi.
Kwenye vipindi vya michezo na hasa mpira wa miguu ambapo wanatumia muda mwingi kwenye uchambuzi.
Fuatilia muda unaotumika kwenye kilimo, biashara na ujasiriamali.
Mechi inachezwa dakika 95 tu ila uchambuzi wake ni wiki nzima, sijui hata huwa wanachambua nini.
 
Niliwahi kukosa huduma dukani sababu muuzaji anaangalia Mpira na hataki kunyanyuka kwenye kiti
 
Bhana, hii shida iko nchini hapa kiasi hua sielewi, hapa sasa hv nimechomoka kanisani, nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa lakini story zote ni mpira tu, kila kona ya nchi ni mpira tu, na hawana wanancho ingiza kwa kuongelea mpira

Watu wanawaza mademu, watu wanawaza wanaume wa kuwachuna, wanawaza kwenda club, maongezi ya kawaida mitaani ni ya kipuuzi puuzi tu yasiyo na tija, yaani taifa linaanguka hivi hivi na wale wanaosema wanashughulika na jamii wanakula tu bata.

Wadada muda wote wako TikTok, Instagram, Facebook na wanajaribu ku-copy maisha ya huko ili yawe halisi

Kuna hatari baadae ktk kizazi
 
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu
Hapo kwenye ving'amuzi sasa, kuna mmoja katuona mapoyoyo kabisa kutwa kupandisha bei ya hayo makitu yake et tu kwa sababu anaonyesha ligi ya wale mahasimu wachawi wawili wanaopokezana kikombe
 
Karibu Yanga
Karibu Arsenal
Daah Mad max tupo pamoja na Brazil upo huyo tura anaamini muda wote ni kujenga na kulima tuu hajui kuwa pana muda unaitafuta Spaniola kuangalia Derby ya Barcelona vs Madrid maisha yanaenda tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…