Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Mechi inachezwa dakika 95 tu ila uchambuzi wake ni wiki nzima, sijui hata huwa wanachambua nini.
Mchambuzi mmoja ana maneno kama cherehani.Akimaliza timu hii anaunganisha na ile ya ulaya.Majina ya wachezaji wa ulimwengu mzima na magoli wanayofunga na pahala walipofunga vinatiririka kama maji.Nakumbuka kama alipata kifo cha ghafla na mashabiki sijui hata kama walikumbuka kwenda kumzika.Akaisihia hapo hapo.
 
Hiyo ndio frusa ya kupigia fedha kwa wenye akili but ,by the way bora hivyo sababu inaleta umoja wa kitaifa,regardless our social,political and religion affiliation watanzania kuna kitu kina waunganisha ,kuliko baadhi ya nchi watu hawali chungu kimoja sababu ya ukabila,udini ,rangi
 
Wanasiasa hasa CCM nao hupita humohumo kutupumbaza huku wakiuza bandari na wanataka wetu
 
Tawilee, wachezaji wenyewe wanavuta pesa mingi hawarudishi kwa jamii wanatajirika makwao tu, wabinasfi Sana.
 


Kama unavyopenda Ngono na kuhonga wanawake na kupoteza fedha na mda, na na sisi tunapenda mpira.
 
Kwaiyo kuangalia wanyama na binadam wenzako wewe unaona Bora ukaangalie wanyama kwa akili hizo uweza kuwa na ubongo wa wanyama
 
Duniani kuna starehe mbalimbali, ipo ya wewe kuponda wenzako kisa waona hawashabikii, hawaamini, hawapendi ukitakacho wewe!
Zipo za kuvuta tumbaku, bangi, pombe, mirungi, wanawake, unazi wa kidini kupita kiasi, siasa, michezo mbalimbali nk nk.
Wengine tunadhani penda, amini, fanya na furahia chochote utakacho Duniani bila kuvunja taratibu, sheria na amani za NCHI.
Sasa mwenzetu wataka tupende ukipendacho wewe umekuwa TALIBAN, KIM WA KOREA KASKAZINI, IRAN NK NK ?!
 
Kwaiyo kuangalia wanyama na binadam wenzako wewe unaona Bora ukaangalie wanyama kwa akili hizo uweza kuwa na ubongo wa wanyama
Binadamau wenzako unaoangalia tena wanaume wenzako. ni dalili za ushoga
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Binadamau wenzako unaoangalia tena wanaume wenzako. ni dalili za ushoga
Alikili yako imetawaliwa na ushoga inaonekana ushafanyiwa ukatili unaohisiana na ushoga omba mungu Hilo pepo likutoke
 
Nipe mifano ya watu 10 unaowafahamu ambao walifilisika kwa kulipia visimbuzi, na 20 waliofilisika kwasababu ya kushabikia mpira.
 
Aisee inafikirisha Sana
Another interesting observation: Azam wamefanikiwa kudhoofisha kama si kuua influence ya premier league bongo kupitia udhamini na matangazo ya live Tv.

Kama huyo bwana alivyoandika, mpaka mechi za vichochoroni za akina IHEFU zinawashaghulisha watu wazima na vijana!

Maongezi na mazungumzo ya mpira yametawala maisha ya vijana 24/7. Ukichanganya na betting ni hatari sana!
 
Ni jana tu nlikuwa namwambia mtu...wakati sisi tumeshughulishwa na mipira, wenye mipira yao wanatengeneza hela tu!
 
Huko kwenye mapinduzi ya kiuchumi,sayansi na vingine ndiko kuliko na michezo mingi
Wakati wanafanya hayo mapinduzi hakukuwa na ujinga huu wa akina premier league, la liga na maujinga mengine. Kwa sasa wanakula matunda ya wazee wao na ndiyo sababu wanapata muda wa starehe kama za mipira.

Wazungu wamepitia vurugu nyingi sana mpaka kupata maendeleo. Unfortunately kwa Africa tunafanya kinyume, starehe kabla ya maendeleo!

Mfano hoja ya uzalendo, huwa najiuliza, mwafrika yupo Karatu anapenda Man U au Arsenal kuliko timu yake ya kijijini anawezaje kuwa na uzalendo kwa nchi? Timu zipo thousands of kilometres away ambazo probably utaishi maisha yako yote bila kuziona inakuwaje zinakukosesha usingizi?

Sometimes we hear people talking about the new world order, that to me is part of the new world order...kuna fala alijiua Kenya kwa arsenal kufungwa na man u...new world order inafanya kazi, tumetengezewa agenda na zikatuingia mpaka tumekuwa mazuzu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…