Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Kashasha Mwl.
 
Unamshangaa mtu anayependa arsenal na kuhoji uzalendo wake,wakati umechapa hii post ukiwa umevaa nguo za china pengine na mtumba wa wazungu,huzitaki za KTM mbagala,jifunze michezo ikianza lini ulaya na mapinduzi ya viwanda yalitokea lini,hutaki tumshangilie Usain bolt Bali tuwashangilie wanariadha wetu konokono!!..michezo Haina nchi
 
Umeongea ujinga sana na upuuzi

I am sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hutaki watu waingize pesa
 
Wewe Ni mjinga ulie advance ukawa mpumbavu.

Ni Nini unafanya humu jukwaani.
 
Ulevi HIZI dini za mzungu na mwarabu sometime zinawafanya Watu wanakua mazwazwa.

Wanapoteza Ile sense ya ufahamu.
 
Kwa hiyo hutaki watu waingize pesa
Ingiza pesa halali kwa kufanya kazi za kujenga taifa sio kubeti.Unachukua pesa za bure na wenzako wanalia na hakuna kilichozalishwa. Kwa namna hiyo nchi inaporomoka chini.
 
Wewe usiyeshabikia unamiliki nini?
Japo sijafikia kumiliki kama wanaomiliki wengine walio juu yangu.Nikijilinganisha na mashabiki wa mpira najiona na furaha sana.Kwanza sina ugonjwa wa presha.
Mashabiki wa mpira wanasikitisha sana.Mtu anapiga makelele uwanjani,halafu anarudi vijiweni na hata barabarani akikutana na wenzake.Vipi huko?.Jana vipi?.Si uwendawazimu huo..Kwenye daladala na mwendo kasi nako pia hawezi kukaa kimya.
 
Una uhakika unavyomiliki ni zaidi ya walivyonavyo mashabiki wote? Kwa mfano unamzidi hela sandaland shabiki wa simba? Na je una uhakika hamna wasio mashabiki wa mpira ambao ni maskini wa kutupwa? Una uhakika pressure inawapata mashabiki tu? Mapenzi je?
 
Kumiliki pesa chafu ni bora kuwa maskini. Sandaland yawezekana hana furaha kuliko wale wanaomiliki baskeli na wanaolala kwenye nyumba za nyasi.
 

Wewe hapo ulipo huamini uwepo wa Mungu. So, Mleta mada ni Muislam, hivyo ni wajibu wake kutoa nasaha, na huenda ikawa ni sababu ya waliomo humu na walipo nje kuacha ushabiki wa mpira na kumrudia Mwenyezi Mungu. Usome Uislamu upate kujua!
 
Kumiliki pesa chafu ni bora kuwa maskini. Sandaland yawezekana hana furaha kuliko wale wanaomiliki baskeli na wanaolala kwenye nyumba za nyasi.

Uliona juzi ajali yauwa mashabiki watano wa namungo! Yani mtu anatoka anaenda dar kuangalia mpira, binaadam tumekua na kibri sana. Tunaendekeza mambo ya kijinga tunaacha ya maana, tunamkimbilia SHEITWAN.
Chochote alichokiharamisha Mwenyezi Mungu kina madhara, lakini mtu ukimpa nasaha anakuona mpumbavu mara oh una mambo ya kizee. Aise, Jahannam itasomba wengi sana
 


Jana saa 1 mpaka 3 nilikuwa naangalia mpira, na sasa nipo kwenye shughuli za Maokoto, swali: jana saa 1 mpaka 3 usiku umeingiza kiasi gani wewe kenge?
 
Jana saa 1 mpaka 3 nilikuwa naangalia mpira, na sasa nipo kwenye shughuli za Maokoto, swali: jana saa 1 mpaka 3 usiku umeingiza kiasi gani wewe kenge?
Huo muda uliokuwa unaangalia mpira mimi nilikuwa na shughuli zangu nyengine na baadae nikaenda kupumzika.Wewe ulipotoka hapo naamini ulikuwa unatafuta mashabiki wenzako mjadili kile kile ulichokiona mwenyewe. Na ukienda kupumzika usingizi hauji vizuri unaota watu wanarusha na kukimbizana na mpira.
 

Kwahiyo mpira umeharamishwa? Ni burudani zipi na michezo ipi iliyo hararishwa na Mungu?
 
Wewe unayewaza na kuzungumza mambo yenye tija uko wapi!? Kwa taarifa yako hata kushinda JF kama wewe ni yaleyale tu.
 
Wewe hapo ulipo huamini uwepo wa Mungu. So, Mleta mada ni Muislam, hivyo ni wajibu wake kutoa nasaha, na huenda ikawa ni sababu ya waliomo humu na walipo nje kuacha ushabiki wa mpira na kumrudia Mwenyezi Mungu. Usome Uislamu upate kujua!
Umejuaje sijasoma Uislamu?

Unaweka vipi hoja ya kuungaunga na kukisiakisia kwa "huenda" katika kujibizana nami?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…