Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
- Thread starter
-
- #41
Hapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
30yrs behind? atakuwa ameogeza chumvi, ukweli kabisa ni kama 18yrs honestly.
Mkielezewa udhaifu wenu kubalini kubadilika na kukubali madhaifu yenu..mmeanza ingiza ishi za LGBTQ..shame
Tatizo letu ni Wanasiasa na sisi raia.Kwanini tunsingekuwa mbele 18 yrs from now
kuna mabara mbali na Africa awaijui Tanzania,ukimwambia natokea east Africa atakuuliza "Nairobi?".
ukijaribu kuchimba chimba uone ni mji au nchi gani awa watu wanaweza kuijua labda kwa east Africa wanaangukia"Kigali".
ukijipinda saana kutafiti ukimpata wa kuijua TZ atakutajia Arusha basi,Dar tupa kule awaijui Duniani huko.
Inakera sana .ujuaji everywherendo shida hiyo.
ukweli wanaiingiza mambo ya ushoga
Ameongeza chumvi sana.Unajua mtu akiwa mtalii anadhani ana akili sana kulikoni waliomtengenezea mazingira yeye akatalii
Jinsi navyoiheshimu hii id..duh..kweli wasukuma akili zao bwana...Usipate mchecheto, kwani tukiwa nyuma miaka 30 tatizo nini?
Kwani ugali wanatulisha?
Shida ukute ameishia Nairobi tu tayari yupo kutoa takwimKenya Internet ni ghali sana, nimeishi huko
Kenya barabara ni finyu sana na mbovu sana, ukitaka nenda Nai, Eld ndo utaelewa
MASHOGA YA NAMNA HII HUWA YANATUMWA NA KUFUNDISHWA NAMNA YA KUICHAFUA NCHI AMBAYO INAKUWA SHINDANI NA KULIPWA, "WE CALL THIS A BAD BUSINES TRICK! /"huyu mtalii ni mjinga, anafikiri hatujafika kenya, uganda na Ulaya?
Nairobi tu ndo kuna barabara nzuri, nenda Naivasha huko,Kisumu , Eldoret utashangaaShida ukute ameishia Nairobi tu tayari yupo kutoa takwim
Mimi nichukue tu hili hapa, hayo mengine watayabeba wengine.- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
Ukiambiwa ukweli usimaindi bali uchukue ukweli wake uudadisi na kuufanyia kazi.
Nimepitia komenti kadhaa na nimeona wabongo wengi tupo kwenye kakisiwa chetu cha comfort zone.
Na jamaa kaja kutuamsha kwa kutumwagia maji ya baridi tumemaindi, tunataka tumdunde eti kwa nini hajatuamsha na nyoya laini la njiwa.
Kwa sasa inatakiwa tuamke tutake tusitake, tutafute panapovuja turekebishe kama anavyofanya mchina.View attachment 2670444
Huyo unayemuita mtalii na wewe ni mapapai tu... Inaonekana hujatembea E.Africa, Yaani Tz uione ipo nyuma ya Uganda na Kenya ktk hayo ulivyosema ni upumbav...