Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga


Umejiunga bando la jero,unakomenti harakaharaka kabla hazijakata.

Hovyoooo
 
niliwahi kumbandu demu wa kikenya.
Aisee amna kitu,hawajui kunyanduana.

Kwa xperience yako huko, ni kweli kuwa hawajui kitu au nilikutana na maandazi?
Mi nilikuwaga na mluhya alikuwa vizuri.

Shida ya wakenya ni aggresiveness

Utasikia si ukwende

Nipe Thao 2 nikasuke

Ukichelewa anakukaba
 
Mi nilikuwaga na mluhya alikuwa vizuri.

Shida ya wakenya ni aggresiveness

Utasikia si ukwende

Nipe Thao 2 nikasuke

Ukichelewa anakukaba

pengine wanaume wao ni dhaifu.

Imagine amwambie mwanaume wa kitanzania maneno kama hayo kama hajajikuta ICU[emoji23]
 
Au Mzungu hana taarifa sahihi na Au wewe jamaa huijui Nchi yako Vizuri!

Ati network ya Barabara TZ tuko vibaya? NI AIBU NA HUJATEMEA HII NCHI VIZURI!

Yako Mambo Kenya wako Vizuri na wala siyo kwa Sababu ya Kiingereza tu..ni suala zima la ujuzi...wakenya wengi wana Skills zaidi ys Accademics...

Kwa hivo wanaajirika kiurahisi kwa Sababu ya Mfumo wao wa Elimu...but ndicho anachofanya Prof Mkenda sasa!

Ipe TZ miaka 10 kutoka hapa tulipo ndo utajua!!!
 

umetembea wapi na wapi hapo kenya na uganda ili u “justify” hoja yako?
 
Kabisa namuunga mkono 100%. Na mara nyingi nimewambia hapa Kenya hatuingii hata nusu kwa Kenya kuanzia siasa zao,katiba, democracy,haki za binadamu na maendeleo,kwenye miundombinu kama barabara n.k Kenya wametuacha mbali sana. Ni kipofu tu bado ataendelea kubisha. Hii nchi bado sana. Tatizo kubwa ni uongozi na siasa zake
 
Mtalii huyo kwio, akajambe mbele. Na ni kama hao wanaomhoji wanashabikia akituponda watz. Tuna kazi sana na hawa majirani wetu 😏
 
Amesema ukweli mpeni maua yake.Watu walikataa wakina Elon wasiwekeze ili waendelee kuupiga mwingi.Kuenjoy Internet atleast kuanzia 3000 na kuendelea,bundle lenyewe linakikomo cha muda wa kutumia.Hela yako ila unapangiwa mwisho lini wa kuitumia haijalishi umetumia yote au la.
 
Hapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
Kenya ni nusu ya tanzania
 
The way ana yo rembua tu vimacho vyake withno doubt he is LGBTQ ss amekuja Tz akakuta mambo meusi kuhusu izo issue lzm aropoke
 
Kama hii ya Paypal, inawatesa vijana wengi wanaopiga kazi za freelancer.
 
Sasa ww shomile hutaki kusoma wenzako mashomile wana masters za kutosha ww unalima kahawa kama mwehu
 
Kenya Internet ni ghali sana, nimeishi huko

Kenya barabara ni finyu sana na mbovu sana, ukitaka nenda Nai, Eld ndo utaelewa
Eldoret Southern Bypass(U/C), Gatuzi la Uasin Gishu.
Eldoret Town

Nai.


Freeway Interchange, Nairobi Southern Bypass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…