Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
Wewe mambo yanayoendelea kwenye michuano ambayo unamiaka 20 unaishia kuyaona kwenye tv yanakuhusu nini...hata tukifungwa mia hayakuhusu..we endelea kujiandaa namechi zenu nasikia leo mnacheza na wakina alikiba
Ingekua yanga mambo yangekua hvyo kama zamanView attachment VID-20190203-WA0007.mp4
Ndiyomaana waliumbiwa midomo na Mungu, kwani unateseka sana Ndugu?
Unajifariji kubali umefungwa basi
[emoji375][emoji375]
Huu ni mchezo... asiyekubali kushindwa siiiiiMshindani!! Game of chance I did my part!!Haijawa hivyo
Nafuu bila hata goli la kufutia machozi Chifu?Iyo timu ina majeruhi 9 wa kikosi cha kwanza, inaongoza goli 5 kocha wao aka amua kuwapumzisha wachezajiwake 4 muhimu wasipate majeraha ndipo simba ilipo pata nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ya kikosi kimezidi kupanuliwa Chifu huko MisriMkuu hali ya kikosi kipana ipoje uko Misri?
Hahahahah hata mimi nimeona khamsa!Uzalendo wa nn? Yaani kuishabikia timu bovu
Aden Rage hakukosea kuwaita mbumbumbuSasa nadhani mnaanza kuelewa....mtu anawaambia watu na akili zaokuwa Simba ni awa na Barcelona...halafu baadaye anakuja sema alikuwa anahamasisha kwamba ukiwaambia simba ni sawa na Barcelona eti Simba wanahamasika kuja uwanjani...What a shame!!! Yaani viongozi gani wa mpira tunao nchini?? Yaani kiongozi anapiga domo sawa na comedy na Simba eti wanaona kuwa eti huyo anafaa....Na bado huyo Saoura kule Algeria atapiga mtu 7-0 kwahasira...hakutakuwa na magoli ya offsde ya Kagere kule....
Mngelijua hilo basi mwaka jana msingetupigia kelele tulipofungwa ,wakati tukiwa kwenye hatua ya makundi michuano ya shirikisho CAF na bado tarehe 12 feb tena kwa mchina .Nanyie kesho mnacheza na kina alikiba...jiandaeni na mechi zenu hili kombe la africa linawahusu nini wakati mnamiaka 20 mnalisikia tu kwenye radio
Mbona kuna taarifa zimetoka kuwa half time al ahly wakiwa dressing room walipenyezewa kimemo kuwa mmiliki wa simba pia ni mwarabu hivyo wasimwaibishe.Hawa waarabu wamenikera sana,badala ya kuvunja record ya tp mizembe eti second half wakarelax
Mpira wanaouweza simba ni wamdomonisimɓa tuna uswahili sana, wachezaji wetu hawako profesional
wachezaji wanapata mishahara mizuri ila wenye uchungu na jezi ni wachache