Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tatizo la Facebook unalileta Jamiiforums?Hizo ni shida zako wala si shida zetu, baki na dharau zako wacha sisi tubaki na facebook yet.
Kutotumia kwako facebook sisi haitusaidii chochote
Nikajua kuna mtu ame HACK account yangu sasa hivi yupo busy ku upload picha za porn...dah!! mpaka kijasho cha tako kilianza kunitoka aisee!!.Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Mimi sio mtu wa kupost ila sioni cha maana huko fbNataka nikuulize ww mitandao unatumia kufanya nn maana watz wengi ukiwemo ww bado ujajua matumiz ya mitandao yote haijalishi ni upi wenzako tunafanya biashara na tunapata pesa sasa ww kama unaangali picha na kutupia picha zako zakishamba ndiyo ujielew na kama ujajua Fb ndiyo mtandao unaongoza kwa followers wengi sasa inategemea ww unatumia kufanya nn
Hawezi kuwa dokta huyo ,hamna hamna labda clinical assistant (C.A).Dr unaniangusha kutumia fb
Kweli ndio maana yuko fb wenzake PhD holders tuko nao social media za maana sio fbHawezi kuwa dokta huyo ,hamna hamna labda clinical assistant (C.A).
Toa hiyo title kwanza, unawadhalilisha madokta.Anza kumdharau Bill gates Kwanza.
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Both facebook and instagramMtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
FACEBOOK ndio SOCIAL MEDIA inayoongoza na yenye kila aina ya maarifa katika nyanja zote unazozifahamu weweHuo mtandao bado upo?
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Boss wako anayekupa kula dabliyusibii ana account facebook na instagram.Huwa namdharau sana mtu anayetumia Facebook.
X ni mambo yoteSafi sana sisi wadau wa x Twitter ni furaha sana kwetu
Facebook kuna hela nyingi sana.Bado uko Facebook?
Kwa mtafutaji,Facebook ni chanzo kikubwa sana cha mapato.Huwa namdharau sana mtu anayetumia Facebook.
Mwambie huyo fala hajui kutumia mitandao kazi yake kumfuatilia zuchu na gigy moneyFacebook kuna hela nyingi sana.
Watafutaji watanielewa kwa hili,usiidharau kamwee.