Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Hizo ni shida zako wala si shida zetu, baki na dharau zako wacha sisi tubaki na facebook yet.

Kutotumia kwako facebook sisi haitusaidii chochote
Tatizo la Facebook unalileta Jamiiforums?

Ndio maana siku hizi mada za kijinga haziishi humu Jamiiforums kumbe tumevamiwa na watumiaji wa fesibuku.
 
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Nikajua kuna mtu ame HACK account yangu sasa hivi yupo busy ku upload picha za porn...dah!! mpaka kijasho cha tako kilianza kunitoka aisee!!.
 
Nataka nikuulize ww mitandao unatumia kufanya nn maana watz wengi ukiwemo ww bado ujajua matumiz ya mitandao yote haijalishi ni upi wenzako tunafanya biashara na tunapata pesa sasa ww kama unaangali picha na kutupia picha zako zakishamba ndiyo ujielew na kama ujajua Fb ndiyo mtandao unaongoza kwa followers wengi sasa inategemea ww unatumia kufanya nn
Mimi sio mtu wa kupost ila sioni cha maana huko fb

Haya unafanya biashara gani fb mpaka unaingiza maokoto ya maana?
 
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa

Aisee noma sana ,nime-uninstal Program imegoma kulogin , nimereset nikalogin ikanitoa ,kumbe ipo down ,hapo sawa nikajua hacker washafanya mambo kama walivyomfanyia Soudbrown.
 
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Both facebook and instagram
 
Huo mtandao bado upo?
FACEBOOK ndio SOCIAL MEDIA inayoongoza na yenye kila aina ya maarifa katika nyanja zote unazozifahamu wewe
mtu mwenye akili timamu na mwenye KIU ya MAFANIKIO katika nyanja mbalimbali hawezi kukosa kuwa na APP ya facebook yenye kila kitu unachohitaji katika REALITY kabisa na vile iko CONNECTED na REELS VIDEO MARKETPLACE PAGE to FOLLOW GROUP TO JOIN imefanya izidi kuwa bora isiyochosha kwa kupata kila unachoitaji kwa msingi wa kuchagua ni aina gani ya matilio unapendelea

Ninatumia kila siku zaidi Facebook lakini sijapost katika WALL yangu tangu 2017 nimeanza kutumia FACEBOOK tangu 2009
 
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Screenshot_20240305-192540.jpg
 
Kwa hiyo watumiaji wa FB ni washamba? Yaani watumiaji 2.3B dunia nzima ni washamba? Phew!!
 
Back
Top Bottom