Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Kwani kesi yao na Jasusi Michael Clifford ilifikia wapi???
 
Something fishy
 
Washakwepa kodi, hapo TRA wakija kudai chao watasema sisi sio tigo.....sisi ni YAS kwahiy watafuteni tigo
 
ni jina marufu sana hasa likiusishwa na mambo ya vijana yani kule kwa mpalange nahisi ata kampini imeona hili jina linawatia zambi sana si bure ni ngumu kubadili kitu kilichozoeleka
 
Niliwahi kusikia kwamba makampuni kubadili majina mara nyingi kunatokana na ukwepaji wa kodi, hivi ni kweli?
Siyo ukwepaji kodi, bali ni upangaji kodi.

Wanatumia mianya ya sheria kupanga na kupunguza makali ya kodi. Hili siyo kosa kisheria. Sheria inampa mwekezaji unafuu wa kodi pale anapoanza biashara.

Kwa hiyo hiyo hutumia mwanya huo kuuza hisa za kampuni kwa mwekezaji 'mpya' na ndiyo maana majina yanabadilishwa.
 
From Tigo kama Tigo to Yas, sii wangeiita Nyash tu...

Iwe from Tigo to Nyash...



Cc: Mahondaw
 
Wakwepa kodi wakubwa bila kuvunja sheria na wanamwalika Waziri wa habari kwenye uzinduzi wa jina jipya ili kusafisha uchafu wao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…