Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Kampuni ya Tigo yabadili jina kuwa Yas Tanzania mabadiliko hayo yametangazwa Leo Kupitia mkutano wa Leo ulikuwepo live Instagram ya Tigo Tanzania na Kuhudhuriwa na Waziri wa habari Jerry Silaa.
nadhani ni katika harakati za kujibrand upya na kivingine,
lakini pia kuondoa nuksi na kujitenga na tuhuma ovu na malalamiko ya huduma mbovu ambazo wamiliki wapya hawahusiki nazo
 
Sababu kuu itakua ni ukwepaji kodi,japo hawawezi kuisema waziwazi.
Wataenda na hilo jina kama kammpuni mpya,amabao wanapewa grace period,ikikaribia kipindi cha kulipa kodi,wanakuja na jina jingine hivyohivyo,the game goes on.
 
Tigo wamebadili jina kwa Mara ya nne

Kutoka bazi ni bomba mpaka kuwa kuwa YAS

Je wataalamu wa Sheria hii Ina maana gani?

Kuna Siri gani juu ya kubadili majina haya?

Je uwa wanakwepa Nini jina limeshakuwa popular kwa watu na wanaobadilisha na kuleta jina jipya!!

Halotel tu ndio kampuni pekee ambayo haijabadili jina toka ianzishwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…