Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali

Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani

Baada ya kuitwa X viongozi wengi wa Serikali duniani wameacha kutumia huku wengine wakiwa wamefuta account zao wakidai ni mtandao usio na heshima kama ulivyokuwa ukiitwa zamani Twitter

Tajiri Elon Musk alikosa washauri wazuri wakati alipokuwa akinunua kampuni ya Twitter kama sivyo lengo lake lilikuwa kuharibu kabisa Twitter kama kawaida yake amekuwa mtu wa kutaka kununua makampuni lakini akishafanikiwa anaharibu kwa kuita majina mabaya yasiyofaa

Elon Musk haishii hapo tu, aliwahi kutoa dau la $1B kwa kampuni ya Wikipedia na kuwaeleza kuwa angetaka kununua kampuni hiyo lakini kwa sharti moja la Wikipedia kubadilisha jina na kuitwa Dickipedia
Baada ya kutoa sharti hilo kampuni ya Wikipedia ilisema haiuzwi kwasababu Dick kwa slang ya Marekani ni tusi linamaanisha kiungo cha uzazi cha mwanaume

Elon Musk amekuwa na changamoto kwasababu akili yake nikama inawaza matusi
X nikifupi cha maudhui ya ngono
Dick ni sehemu ya siri ya mwanaume
Kwanini amekuwa mtu wa kuwaza tu matusi???
 
Upo sahihi kwasababu akili yake nikama inawaza matusi
X nikifupi cha maudhui ya ngono
Dick ni sehemu ya siri ya mwanaume
Kwanini amekuwa mtu wa kuwaza tu matusi???
mzee wake alikuwa anampiga sana akiwa mdogo, shule alikuwa anaonewa

yupo kwenye autistic spectrum

kwa vile kapata hela anaona sasa na yeye kapata ubavu flani wa kufanya chochote, anaona ni zamu yake kutamba
 
X is shrinking..

Sema X kwa hapa bongo kuna maduwanz wanalipwa ku run agenda wakiongozwa na mtoto wa wazir wa ulinz wa zamani..

Account nying X ni blabla...
Kule kucharaza reli imekuwa fursa sana

Hivi Insta, FB napo kuna reli kama X? sipo Active mitandao hiyo
 
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali

Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani

Baada ya kuitwa X viongozi wengi wa Serikali duniani wameacha kutumia huku wengine wakiwa wamefuta account zao wakidai ni mtandao usio na heshima kama ulivyokuwa ukiitwa zamani Twitter

Tajiri Elon Musk alikosa washauri wazuri wakati alipokuwa akinunua kampuni ya Twitter kama sivyo lengo lake lilikuwa kuharibu kabisa Twitter kama kawaida yake amekuwa mtu wa kutaka kununua makampuni lakini akishafanikiwa anaharibu kwa kuita majina mabaya yasiyofaa

Elon Musk haishii hapo tu, aliwahi kutoa dau la $1B kwa kampuni ya Wikipedia na kuwaeleza kuwa angetaka kununua kampuni hiyo lakini kwa sharti moja la Wikipedia kubadilisha jina na kuitwa Dickipedia
Baada ya kutoa sharti hilo kampuni ya Wikipedia ilisema haiuzwi kwasababu Dick kwa slang ya Marekani ni tusi linamaanisha kiungo cha uzazi cha mwanaume

Elon Musk amekuwa na changamoto kwasababu akili yake nikama inawaza matusi
X nikifupi cha maudhui ya ngono
Dick ni sehemu ya siri ya mwanaume
Kwanini amekuwa mtu wa kuwaza tu matusi???
Elon ndio ibilisi mwenyewe anayetajwa na vitabu vya dini
 
Halafu jamaa aliyeuza Twitter huyu hapa, Jack Patrick Dorsey.

Zile dola za kimarekani Billion 44, Sijui kawekeza wapi?
FB_IMG_1733865095447.jpg
 
Back
Top Bottom