KERO Mtandao wa VODACOM umekuwa una shida sana poleni mnaotumia Voda pekee

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawakopi lakini wanapiga mizinga kwa wanaume 5 kwa mpigo, wote mnatuma vocha za 10k kila mmoja.

Wanaanzaga kuwaomba hasa wale wanaowafukuzia
 
Majaribio ya Mwanzoni kuzingua network kuelekea uchaguzi wa SM
 
Ukiacha Voda,mtandao gani mwingine una internet yenye Kasi na ambayo haisumbui?

Hii kampuni ya majizi imekuwa shida sana
Hakuna babu Halotel nao kuna muda jioni kuelekea usiku mtandao unabumbabumba tu haueleweki yaan majanga, Airtel nimeacha kutumia TIGO sijui utumie nini kunishawishi nitumie maana niliacha kutumia muda mrefu sana mpaka leo sijatumi yaan siielewi
 
Poleni kwa changamoto ya kimtandao.....

Kwanza mnaopiga kelele hapa wengi wenu mnaishi kwa ndugu zenu, mnatumia bando za shemeji zenu za bure, hamjawahi kuweka bando tangu mnunuliwe hizo simu na mashemeji zenu.
Iko hivi, suala la mtandao kugoma haipo kwenye kampuni ya Vodacom pekee, ni hali inayotokea kwenye mitandao mingine pia, hivo ni vizuri kuwa na subiri na kaba hasa kwa ninyi wanaume mnaopiga kelele hapa jukwaani.

Tumewasikia, tutajitahidi hili lisijirudie.
Asanteni.
 
Idiot huna akili.... na kama wana waajiriwa wa aina yako no wonder kampuni inaenda inakua hovyo
 
Umeolewa lakini mpaka unawadharau wanaume kiasi hicho au ndio kwa msaada wa mkono?
 
Siku hizi pia wamekuwa na tabia ya kufyeka sana mabando.... Ni wanapukutisha kwelikweli... Unanunua bando, hujakaa sawa limeshakwisha.....😒😒
 
Unafuatilia mkeka ili u-cash out net inapotea mazima. Wakirudi ni kuomba samahani na pengine wakupe dk za kupiga voda. Idiots.
Na wakati huo mkeka ulikuwa una cash out laki 4 halafu wanakuja kukupoza na MB 500.

Mimi ilinitokea nilikuwa nabeti live nikaomba goli litokee 1H dakika ya 38, ile nabonyeza hakuna mtandao hadi goli likaingia kweli.
Hao walikuwa airtel na niliwalaani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…