Mtandao wa vodacom una shida au

Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Vodacom haipo hewani hapa nilipo.
 
Voda ni tabu, tigo nao tabu.
TRA wapo busy na mambo ya kishenzi tu. Kwa hii mambo ya bundles, unapokosa service masaa kadhaa maana yake umeibiwa rasmi. Nani analipia hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…