Mtandao wa vodacom una shida au

Mtandao wa vodacom una shida au

Yakwangu Iko very owkey!
1727544678400.jpg
 
Hata huku nyanda za juu kusini hamna network upande wa kupiga na kutuma sms ila intaneti inafanya kazi.

Kwa mtandao kama Voda kutofanya kazi zaidi ya dk 30 nikusababisha hasara ya mabilioni kwa wateja wake sema ndio hivyo Tz wote ni waoga ila inabidi kuwaburuza mahakamani walipe fidia wajifunze.

Nimeshindwa kutoa pesa kwa ajili ya kulipia huduma Voda imenifanya kuonekana mbabaishaji kimsingi nimechukia sana.
 
Hata kwangu sipati mtandao kabisa.
Vodacom nao wamekuwa kanjanja sana.
Hakuna taarifa wala nini?
Nchi imejaa wababaishaji kila idara iwe umma hadi binafsi.
 
Back
Top Bottom