Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ulale njaaa, imagine umekula pisi alafu Ulitaka ilipa kwa m-pesa mbona utajibeba hapo 😅😅Afu mtu anakushauri utunze pesa m-pesa kwa network hii si unalala njaa
Utakaa nao bar Hadi mtandao urudiMtandao umekata kabisaaaaa,..imagine ndo upo bar unategemea ulipe kwa lipa namba...hapo ndo utajua ujui
Cash in hand Ina make sense zaidi kuliko hizi mobile money ambazo hazina uhakikaBora ulale njaaa, imagine umekula pisi alafu Ulitaka ilipa kwa m-pesa mbona utajibeba hapo 😅😅
Tumia M pesa App kufanya miamala. Hakikisha una bando la internet la mtandao mwinguneUtakaa nao bar Hadi mtandao urudi
Shida sio m-pesa app issue ni mtandao.. what if natoa kupitia m-pesa app je wakala ataona?Bado sana kwa watanzania wengi. Tumia M pesa App kufanya miamala. Hata meneja wa bar Hana m pesa App wakati ukienda nchi zingine bado unaweza kufanya miala ya m pesa au tigo pesa kwa kutumia App. Shida kubwa
Mimi dogo kaniomba nimtumie vocha halafu ninayo mpesa yeye ana halotel. Nmemwambia mtandao unasumbua imagine si ataniona nimemkazia jamaniAfu mtu anakushauri utunze pesa m-pesa kwa network hii si unalala njaa
nunua mkate wambie wabandike chai hali ni tete habari ya mboga mpaka pale mfumo utakapo kaa sawaUmeona Mzee mi nimeaga home naenda kununua mboga mpaka saa hivi nasubiria m-pesa ianze kufanya kaz
walevi na kiu utamshauri kitu akuelewe kwaniCash muhimu,lipa namba Ina kuaibisha kama network haipo 😀😀
Ni maandaliz ya uchaguzIshazua taharuki watu wanashindwa kuwasiliana binafsi nimeshindwa kutoa pesa.. kimsingi ni usumbufu na kusababiashana loss
Mawakala wanatakiwa watumie M pesa App . Iwe kama online bankingShida sio m-pesa app issue ni mtandao.. what if natoa kupitia m-pesa app je wakala ataona?
Mtandao umekata kabisaaaaa,..imagine ndo upo bar unategemea ulipe kwa lipa namba...hapo ndo utajua ujui
Hadi sasa sina network ya vodaUbunifu wa Rostam Azizi. anaona mnataka kuukimbia mtandao wa Tigo kwasababu ya Lissu. Kwakuwa mitandao yote ni ya kwake anafanya hivyo makusudi ili muone na Voda nako ni kimeo mbali huko huko tigo
Lisaa tu? Bora weweKaribu lisaa sasa simu yangu haina network, na namba za vodacom karibu zote kwenye phone book yangu hazipatikani