Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.

Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".

Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.

Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.

Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.

Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.

Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
 
Hadi tick tok na instagram nao ukipandisha maudhui against Israel yanashushwa Fasta imebaki telegram nayo muda wowote itazinguliwa sema tele wanatembea na backup kabambe na zote ziko full followed ni kuhama hama channel kwakweli zayuni ni mshenzi sana
 
Elon Musk alijifanya kuwa mwanademokrasia wa kuwapa watu haki ya kutoa maoni kwenye X, baadae akaitwa na Zayuni huko Israel. Aliporejea marekani sasa hivi amegeuka tarishi wa zayuni nambari wani!. Hakuna cha freedom of speech wala nini!
 
Hadi tick tok na instagram nao ukipandisha maudhui against Israel yanashushwa Fasta imebaki telegram nayo muda wowote itazinguliwa sema tele wanatembea na backup kabambe na zote ziko full followed ni kuhama hama channel kwakweli zayuni ni mshenzi sana
Mbinu hii kafanikiwa kwan watu wengi wavivu kutafuta habar .,kila wakiingia kwenye mitandao wanakuta habar za Israel noma Israel noma
 
Hadi tick tok na instagram nao ukipandisha maudhui against Israel yanashushwa Fasta imebaki telegram nayo muda wowote itazinguliwa sema tele wanatembea na backup kabambe na zote ziko full followed ni kuhama hama channel kwakweli zayuni ni mshenzi sana
Si zamakafir hizo ama?? Ama humpendi kafiri lkn unapenda vitu vyake?😅
 
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.

Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".

Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.

Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.

Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.

Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.

Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
Israel anayo haki kwa 100% kufanya anachokifanya. Sasa kobaz mbona hamkukemea alichodanya ile tarehe 07 na bado. I
 
Sasa kama twitter washawah kumfungia hadi trump tena akiwa rais ije kua huyo kuongoz wa kigaidi
 
Tayari imeshakua restored jana usiku, waliifungia Asubuhi usiku wakaifungua, kitendo cha X kuifungia account ya Khamenei Israel atalipa juu ya hilo, Operation true promise 3 itakayo tekelezwa siku yoyote kwanzia sasa itaongezewa ukali zaidi
 
Sijaelewa, Khamenei anatumia lugha ya Kiebrania kuwasiliana na watu? Why not Kiajemi or Kiarabu?
 
Back
Top Bottom