medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mtandao wa X hata hao wamarekani wenyewe wamechoshwa nao, wengine wamejiondoa na kwenda zao kwenye Thread na Meta., It is good nothing kwa kiongozi wa Iran kuondolewa, vichapo viko pale pale tu wiki hii kwa mujibu wa Iran tegeni masikio yenu nyi mazayuniMtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".
Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.
Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.
Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
Huo mtandao wa X hata hao wamarekani wenyewe wamechoshwa nao, wengine wamejiondoa na kwenda zao kwenye Thread na Meta., It is good for nothing kwa kiongozi wa Iran kuondolewa, vichapo viko pale pale tu wiki hii kwa mujibu wa Iran tegeni masikio yenu nyi mazayuniMtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".
Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.
Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.
Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalemIsrael anayo haki kwa 100% kufanya anachokifanya. Sasa kobaz mbona hamkukemea alichodanya ile tarehe 07 na bado. I
Kuna waisilamu kibao wamiliki wa Twitter, it just happens hao waisilamu wa Twitter wanatoka Saudia ambao haziendi na IranSi zamakafir hizo ama?? Ama humpendi kafiri lkn unapenda vitu vyake?😅
Iran ni diverse country, kama unaona Tanzania ina makabila mengi then Angalia Ethnicities za Iran.Sijaelewa, Khamenei anatumia lugha ya Kiebrania kuwasiliana na watu? Why not Kiajemi or Kiarabu?
Ukirsto umekujaje hapa..? Una waza ufala wako tu kobazi 😁😁😁 fanya yako aroo.Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalem
Ni kwa ajili ya propaganda,bbc,via, DW nk wanna idhaa za kiswahili na lugha nyingineIran ni diverse country, kama unaona Tanzania ina makabila mengi then Angalia Ethnicities za Iran.
Wa Persia wenyewe ni asilimia 44 tu ya Wairan, then wanafuatiwa na Waturuki, then minorities wengine ambao ni wengi mno kama Kurds, wayahudi, Waarabu, Assyrian, wabulushi etc Kuna mpaka communities za Wazungu toka Armenia, Georgia na Circassians.
kobaz unamaanisha nini? yawezekana wewe mwenyew hujielewi unachoshabikia na unachokipuuzaUkirsto umekujaje hapa..? Una waza ufala wako tu kobazi 😁😁😁 fanya yako aroo.
Twita wapo sahihi kuifungia hiyo accounti maana wafia dini ukiwaacha hivi hivi ni watu wenye fujo dunianiMtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".
Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.
Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.
Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
huyu Musk si ndo anatakiwa apewe kobazi moja la kalio linalomuwashaMtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".
Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.
Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.
Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
Asante kwa ufafanuzi; though hi ya Kiebrania inatia ukakasi kidogo. Yaani unatumiaje lugha ya mahasimu wako? Kwa wasio elewa, Waebrania ndio Waisrael ambao wengi wao kwasasa wanaitwa Wayahudi. Hi tofauti ya Wayahudi na Israel ni maada nyingine but kwa ufupi, sio kila Mwisrael ni Myahudi but Wayahudi wote ni Waisrael. 😅🤣 CHANGANYA watu kidogoIran ni diverse country, kama unaona Tanzania ina makabila mengi then Angalia Ethnicities za Iran.
Wa Persia wenyewe ni asilimia 44 tu ya Wairan, then wanafuatiwa na Waturuki, then minorities wengine ambao ni wengi mno kama Kurds, wayahudi, Waarabu, Assyrian, wabulushi etc Kuna mpaka communities za Wazungu toka Armenia, Georgia na Circassians.
^46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza-ushuru, hivi nao hawafanyi yayo hayo?Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalem
Basi kabla ya kufunga ya Ayatolah wafunge ya Bi den,Zeleboy na Ile ya Benjanyau wanaofanya wanaofanya na kuchochea Mauaji.Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika mahesabu yake kuhusu Iran. Tutaufanya uelewe nguvu, uwezo, ubinifu na ulinzi wa taifa la Iran".
Ujumbe huo wa Kamanei, unaandikwa kukiwa na mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi ya Israel dhidi ya Iran huku utawala huo ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Mtandao wa X unaomilikiwa na Elon Musk, ambaye anaunga mkono utawala hasimu wa Israel, kitu ambacho si mara ya kwanza mashirika ya taifa la Marekani kufunga akaunti za mitandao ya kijamii zinazofungamana na Ayatullah Khamenei.
Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Oktoba 7, 2023, Israel ilianzisha vita katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtandao wa Meta umelenga kuondoa kila maudhui yanayoiunga mkono Palestina kwenye mitandao yake ya Instagram na Facebook.
Katika upande wa pili X (twitter) Instagram na Facebook zimejiepusha kuchukua hatua dhidi ya akaunti zozote zinazomilikiwa na maafisa wa Israel ambao wamekuwa wakichochea mauaji dhidi ya Wapalestina.
Hana Account moja, hio ni ya Hebrew, anayo ya kingereza piaAsante kwa ufafanuzi; though hi ya Kiebrania inatia ukakasi kidogo. Yaani unatumiaje lugha ya mahasimu wako? Kwa wasio elewa, Waebrania ndio Waisrael ambao wengi wao kwasasa wanaitwa Wayahudi. Hi tofauti ya Wayahudi na Israel ni maada nyingine but kwa ufupi, sio kila Mwisrael ni Myahudi but Wayahudi wote ni Waisrael. 😅🤣 CHANGANYA watu kidogo
Kobaz wanajuanakobaz unamaanisha nini? yawezekana wewe mwenyew hujielewi unachoshabikia na unachokipuuza
Kuna waisilamu kibao wamiliki wa Twitter, it just happens hao waisilamu wa Twitter wanatoka Saudia ambao haziendi na Iran
Kama hufahamu prince Al Waleed ni Katika watu wa Mwanzo kama founder wa Twitter na mpaka Musk ananunua Twitter yeye hakuuza share zake, ni Mmiliki wa Pili baada ya Musk kwa share.
![]()
Saudis ‘second largest investors’ in Twitter after Musk takeover
KHC and the private office of Prince Alwaleed bin Talal are jointly the second largest investors after Elon Musk.www.aljazeera.com