Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia kunya unapolima ndio hivi.Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Najua, nimemjibu tu huyo jamaa anaesema Waisilamu wanaenda mtandao wa makafiri Twitter, hali ya kuwa miaka na miaka kuna owner wa kiisilamu wengiSasa kwani hujui kuwa Saudia na Yahudi damdam?