Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

Atayekulaan nitamlaan atayekubalik nitambaliki

Elon musk janja sana jamaa anaogopa kulaaniwa

Wagalatia 3:13


Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Huo mtandao wa X hata hao wamarekani wenyewe wamechoshwa nao, wengine wamejiondoa na kwenda zao kwenye Thread na Meta., It is good nothing kwa kiongozi wa Iran kuondolewa, vichapo viko pale pale tu wiki hii kwa mujibu wa Iran tegeni masikio yenu nyi mazayuni
 
Huo mtandao wa X hata hao wamarekani wenyewe wamechoshwa nao, wengine wamejiondoa na kwenda zao kwenye Thread na Meta., It is good for nothing kwa kiongozi wa Iran kuondolewa, vichapo viko pale pale tu wiki hii kwa mujibu wa Iran tegeni masikio yenu nyi mazayuni
 
Israel anayo haki kwa 100% kufanya anachokifanya. Sasa kobaz mbona hamkukemea alichodanya ile tarehe 07 na bado. I
Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalem
 
Twitter ishakua yakipuuzi, ukiperuz kidogo kukutana na clips za ukraine anampiga urusi ni kitu cha kawaida, ila clip za urusi kumpiga ukraine mpakq usearch.
Issue ya double standard ni ngumu kuisha
 
Si zamakafir hizo ama?? Ama humpendi kafiri lkn unapenda vitu vyake?😅
Kuna waisilamu kibao wamiliki wa Twitter, it just happens hao waisilamu wa Twitter wanatoka Saudia ambao haziendi na Iran

Kama hufahamu prince Al Waleed ni Katika watu wa Mwanzo kama founder wa Twitter na mpaka Musk ananunua Twitter yeye hakuuza share zake, ni Mmiliki wa Pili baada ya Musk kwa share.

 
Sijaelewa, Khamenei anatumia lugha ya Kiebrania kuwasiliana na watu? Why not Kiajemi or Kiarabu?
Iran ni diverse country, kama unaona Tanzania ina makabila mengi then Angalia Ethnicities za Iran.

Wa Persia wenyewe ni asilimia 44 tu ya Wairan, then wanafuatiwa na Waturuki, then minorities wengine ambao ni wengi mno kama Kurds, wayahudi, Waarabu, Assyrian, wabulushi etc Kuna mpaka communities za Wazungu toka Armenia, Georgia na Circassians.
 
Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalem
Ukirsto umekujaje hapa..? Una waza ufala wako tu kobazi 😁😁😁 fanya yako aroo.
 
Ni kwa ajili ya propaganda,bbc,via, DW nk wanna idhaa za kiswahili na lugha nyingine
 
Ukirsto umekujaje hapa..? Una waza ufala wako tu kobazi 😁😁😁 fanya yako aroo.
kobaz unamaanisha nini? yawezekana wewe mwenyew hujielewi unachoshabikia na unachokipuuza
 
Twita wapo sahihi kuifungia hiyo accounti maana wafia dini ukiwaacha hivi hivi ni watu wenye fujo duniani
 
huyu Musk si ndo anatakiwa apewe kobazi moja la kalio linalomuwasha
 
Asante kwa ufafanuzi; though hi ya Kiebrania inatia ukakasi kidogo. Yaani unatumiaje lugha ya mahasimu wako? Kwa wasio elewa, Waebrania ndio Waisrael ambao wengi wao kwasasa wanaitwa Wayahudi. Hi tofauti ya Wayahudi na Israel ni maada nyingine but kwa ufupi, sio kila Mwisrael ni Myahudi but Wayahudi wote ni Waisrael. 😅🤣 CHANGANYA watu kidogo
 
Mayahudi si wakiristo dini yao inaitwa Judaysim, wakiristo wanatemewa mate ni hao mayahudi ata ukiwakumbatia ni kutokujielewa tu na ujinga wakiristo tele wanauliwa ni hayo mayahudi na kuvunjwa kwa makania yao huko jerusalem
^46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza-ushuru, hivi nao hawafanyi yayo hayo?

^47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, hivi nao hawafanyi kama hayo?^ (Matthew 5)

Mkuu 5523 kula chuma hiko!
 
Basi kabla ya kufunga ya Ayatolah wafunge ya Bi den,Zeleboy na Ile ya Benjanyau wanaofanya wanaofanya na kuchochea Mauaji.
 
Hana Account moja, hio ni ya Hebrew, anayo ya kingereza pia
 
Ayatolah ni mfadhili wa Magaidi asiruhusiwe kusambaza Sumu zake.
 

Sasa kwani hujui kuwa Saudia na Yahudi damdam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…