Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

Mnamo mwezi Februari, akaunti za Facebook na Instagram za Ayatullah Khamenei ziliondolewa na Meta, kampuni ya Kimarekani inayoendesha na kumiliki mitandao hiyo mawili.
Ukisikia kunya unapolima ndio hivi.

Unajua unatumia mitandao yao then unataka utukane kupitia hiyo hiyo?
 
Ayatollah afungue mtandao wake asitumie mitandao ya makafir mana ni yale yale nyama ndo haramu mchuzi tunakunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…