Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ninachomaanisha anakosa huduma gani kwenye kuuguzwa?Mke. Amekosa mke. Ukikosa mke inabidi wengine wakae kujadili unasaidikaje.
By the way, bora wazee wale wasio na wake sababu wamefiwa, wale zalisha acha mtoto alelewe na mama, hata hiyo connection hana kuwa watoto watapatwa uchungu na mzee wao. Hali ni mbaya zaidi kwenye hayo mazingira, mpaka mama yao apige kuwakumbusha baba yenu yupo hospitali na hapo yupo kwa mwanaume mwingine alishaolewa ndo hali inakuwa ngumu zaidi.
Kuna scenario baba mmoja alizalisha mwanamke akamtelekeza. Sasa kama kawaida watu wabishi wakachukua mama na watoto wakaweka ndani, miaka ikapita.Endelea
Kupambania Kama jina lako π
Mungu akuepushe na mabalaa Ila siku ya kikupata utakumbuka hizi comment hata kimoyo moyo
Anakosa mke wa kumuuguza. Hilo ndo jibu. Ukishakosa mke wa kukuuguza inabidi jamii yako isumbuke kutafuta utaratibu mbadala wa kukuuguza. HUELEWI NINI HAPO?Ninachomaanisha anakosa huduma gani kwenye kuuguzwa?
Naona maelezo mengi jibu silioni
Binadamu wema wapo katika familia, ukoo na marafiki wa kuwahudumia wanaume ambao hawajaoa wanapokuwa wagonjwaEndelea
Kupambania Kama jina lako π
Mungu akuepushe na mabalaa Ila siku ya kikupata utakumbuka hizi comment hata kimoyo moyo
Kwa mfano mke anatoa huduma kama zipi za kumuuguza mume wake akiwa mgonjwa? Taja hata 3 tuAnakosa mke wa kumuuguza. Hilo ndo jibu. Ukishakosa mke wa kukuuguza inabidi jamii yako isumbuke kutafuta utaratibu mbadala wa kukuuguza. HUELEWI NINI HAPO?
Kusafisha tutako twako ukijinyeaKwa mfano mke anatoa huduma kama zipi za kumuuguza mume wake akiwa mgonjwa? Taja hata 3 tu
Hizo huduma zote hata asiye na mke anazipata akiwa anauguzwaKusafisha tutako twako ukijinyea
Kukuvalisha
Kukupa dawa
Ukizidiwa kuchukua hatua za dharura
Kukupa kampani
Kukupa faraja za kupona haraka na mengine mengi.
Hata mimi ni weekend niko nimejilaza kwa sofa hapa, nashukuru kwa kunisaidia ku-buy time baadaye nitoke niende kwenye mishe zangu binafsiUnajua @Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
Ungekuwa na mke sahihi huo mzigo unaotaka ukoo wako waubebe ungewaepusha nao ili waendelee na majukumu yao badala ya kufanya majukumu ya mke wako.Binadamu wema wapo katika familia, ukoo na marafiki wa kuwahudumia wanaume ambao hawajaoa wanapokuwa wagonjwa
Anazipata kwa nani?Hizo huduma zote hata asiye na mke anazipata akiwa anauguzwa
Haya tuendelee na mjadala. Si wote hatuna kazi. Kwa hiyo hutaki mke? Ni tapeli, vipi makuzi yako, umekua kwenye mazingira ya baba bila mama?Hata mimi ni weekend niko nimejilaza kwa sofa hapa, nashukuru kwa kunisaidia ku-buy time baadaye nitoke niende kwenye mishe zangu binafsi
Pole yake sana...
Kwa wale tuliokubaliana wanaweza kumhudumia.Anazipata kwa nani?
Kama watoto, ndugu, marafiki, kumlipa nesi n.k
Baba alipata mke sahihi kwa choice aliyofanya nimempongeza hata kuna siku tulikuwa tunazungumza na mzee nikampongeza kuwa alituchagulia mama bora kabisa maishanivipi makuzi yako, umekua kwenye mazingira ya baba bila mama?
Wanawake wengi hasa hawa modern women ni matapeliKwa hiyo hutaki mke? Ni tapeli
Huu ni uongo...faraja from who???Hizo huduma zote hata asiye na mke anazipata akiwa anauguzwa
Umegeneralize...by the way unakutana na matapeli kwa sabbu to each persons their own...utapataje mke makin ikiwa na wewe umejaa mabalaa....Wanawake wengi hasa hawa modern women ni matapeli
Achana nao, wanadhani walivokua wakijinye* utotoni wanasafishwa na kuvalishwa na mama, wanajua na wakiugua watu wazima mama zao watawasafisha.....Kusafisha tutako twako ukijinyea
Kukuvalisha
Kukupa dawa
Ukizidiwa kuchukua hatua za dharura
Kukupa kampani
Kukupa faraja za kupona haraka na mengine mengi.
Unajua Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
Usitumie nguvu nyingi sana. Kama haoni sababu acha asione....tunachomuombea ni Afya njemaUngekuwa na mke sahihi huo mzigo unaotaka ukoo wako waubebe ungewaepusha nao ili waendelee na majukumu yao badala ya kufanya majukumu ya mke wako.
Unadhani wazee waliosema tuoe walikuwa wapuuzi sana? Kama dini inaruhusu vuta wake hata wawili, jengea boma watunze wao na watoto wako. Kuachana kupo, ikitokea basi bahati mbaya ila mambo yakienda vizuri utazeeka kama raisi mwinyi.
Alishawataja scroll up message # 193Huu ni uongo...faraja from who???