Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Kuna siku mi niliumwa sana gheto dah hadi nikaona umuhimu wa kuwa na mke
 
Watu wengine buana. Sasa kutangaza kuwa kuna mtangazaji kalazwa kunaliongezea nini taifa. Au ni yeye peke yake kaanza kulazwa tangia uhuru?
 
Labda nimkute bikira
Nimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.
 
Umemjibu vizuri
Binafsi Sina mke ila haya nayatambua ukiwa na mke au Mume unapunguza pressure kwa ndugu unapopatwa na shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…