Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.

Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.
Kuna siku mi niliumwa sana gheto dah hadi nikaona umuhimu wa kuwa na mke
 
Watu wengine buana. Sasa kutangaza kuwa kuna mtangazaji kalazwa kunaliongezea nini taifa. Au ni yeye peke yake kaanza kulazwa tangia uhuru?
 
Labda nimkute bikira
Nimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.
 
Kusafisha tutako twako ukijinyea
Kukuvalisha
Kukupa dawa
Ukizidiwa kuchukua hatua za dharura
Kukupa kampani
Kukupa faraja za kupona haraka na mengine mengi.

Unajua Evelyn Salt alisema niachane na watoto hamuelewi, ila sina shughuli hapa kuna wageni nawasubiri ndo maana nakujibu nipoteze muda. Ningeshakupuuza maana ni mzito mnooooo kuelewa. Hahahaha.
Umemjibu vizuri
Binafsi Sina mke ila haya nayatambua ukiwa na mke au Mume unapunguza pressure kwa ndugu unapopatwa na shida
 
Back
Top Bottom