Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sina dadaNimekuuliza dada zako hapo nyumbani ni wanawake bora? Unajua usinyooshee tu watoto wa wengine vidole, anzia kwanza hapo ulipokulia kama kunafaa kwa wengine kubisha hodi, kama kunafaa basi lazima utapata anayekufaa sababu na wewe utakuwa unajua unatakiwa uwe mtu wa aina gani kustahili mwanamke anayefaa kama dada zako.
Kabisa mkuu.Umemjibu vizuri
Binafsi Sina mke ila haya nayatambua ukiwa na mke au Mume unapunguza pressure kwa ndugu unapopatwa na shida
Mi nadhani ushauri watu tutafute pesa sio mke.Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.
Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.
Ooh, basi hapo sawa.Sina dada
NAKAZIAkutokuwa na mke ni bora kuliko kuwa na mke asiye sahihi.
Ni sawa pia.Mi nadhani ushauri watu tutafute pesa sio mke.
Mke sio ndugu yako.Ni sawa pia.
Tafuta kile unachoona ni sahihi kulingana na mazingira yako.
Mfano kwangu mimi, ukiwafuta mke na watoto umenipa adhabu kubwa sana kwenye maisha yangu. Daah, haipendezi hata kuliwaza hilo.
Ni mke wangu. Kuwa mke inatosha. Ndugu si mke wangu.Mke sio ndugu yako.
Mmesikia au aongeze sauti??????Huyu na Prof Jay walikuwa watu wa gambe kali sana.
Nguvu za ujana wengi zinawadanganya ukiwashauri kuhusu pombe kali na athari zake wanakuona mshamba tu.
Ila umri unaposogea kimtindo tunaanza kuelewana.
I wish him a speedy recovery.
Dodoma Zinalimwa Sana Sana, Tena Tabora Ni Jirani Ongea NBSIn
Inapatikana wap ii nipo tabora.
Kumbe tatizo lilianzia hapa...ππππWanawake wengi hasa hawa modern women ni matapeli
Kwa kweli tumuombee afya njema siku zoteeeUsitumie nguvu nyingi sana. Kama haoni sababu acha asione....tunachomuombea ni Afya njema
Kabisa mkuuKumbe tatizo lilianzia hapa...ππππ
Asipokuelewa ni ukorofi wake tuMwanamke ambaye hajaolewa ndio huwa haumwi sio?
Sasa katika hali hiyo anahitajika mke au madaktari?
Shirikisha ubongo wako kabla ya kucomment
R.I.P Captain...Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Hivi haya manguo wanayovaaga watu wa arusha ni utaahira au ni nini? Manguo oversize yaliyochanwa, maviatu makubwa na matairi ya magari! Ni ujuha na uzuzu! Ni ujanja wa kijinga na ushamba!!mnapend sana kumdharau janabi the profesaaaaView attachment 2954513
Unasema R I P Kwani kafaR.I.P Captain...
Tayari, mwili umeshaacha roho.Unasema R I P Kwani kafa
Katika Addictions ambazo nashukuru Mungu hazijanidaka ni pombe na sigara. Sijawahi kuonja anyLife style ibadilike sasa uzee ushaingia