Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Very theoretical hearsay...nimeshauguza sana muhimbili...wanaouguzaga ni wake, sijawahi ona mama anamuuguza mwanae pale (nikimaanisha watoto wa kiume watu wazima ambao wanatakiwa kuwa na wenza). Kwanza manesi na madaktari watu wazima watakusema we.mgonjwa mpk uelewe. Kuna mmoja alimpelekaga mama ake kufanyiwa kipino cha Ecg/echo kama sijakosea...yule mtaalamu alimsema kwamba wewe huna any woman in your life wa kumleta mama ako, sasa anatakiwa atolewe nguo, utamtoa wewe?? Na hata kama mmepishana na mwenza what abt sisters, cousin sisters, yule kaka alinywea sana. Sema yule mtaalam akaomba nesi amsaidie.Wenzako walikimbiwa na wake zao wakiwa hoi vitandani wagonjwa
Mama zao wakabaki kuwauguza bega kwa bega wakiwa pembeni ya vitanda vyao mpaka walipopona au umauti ulipowafikia
Familia ni muhimu sana kwa both mwanamke na mwanaume maana kuna maradhi sasa pale hospital inasaidia sana your counterpart akiwepo..amini kwamba. Kuna siku niliingia kumuona mgonjwa flani pale Sewahaji, alikua amekatwa mikono....lakin ni mke wake ndo alikuwa anamsaidia sana. Imagine asingekuepo...hatujafa hatujaumbika, tusipige kelele sana leo kisa tuna uzima..we never know!!!!