Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Wenzako walikimbiwa na wake zao wakiwa hoi vitandani wagonjwa

Mama zao wakabaki kuwauguza bega kwa bega wakiwa pembeni ya vitanda vyao mpaka walipopona au umauti ulipowafikia
Very theoretical hearsay...nimeshauguza sana muhimbili...wanaouguzaga ni wake, sijawahi ona mama anamuuguza mwanae pale (nikimaanisha watoto wa kiume watu wazima ambao wanatakiwa kuwa na wenza). Kwanza manesi na madaktari watu wazima watakusema we.mgonjwa mpk uelewe. Kuna mmoja alimpelekaga mama ake kufanyiwa kipino cha Ecg/echo kama sijakosea...yule mtaalamu alimsema kwamba wewe huna any woman in your life wa kumleta mama ako, sasa anatakiwa atolewe nguo, utamtoa wewe?? Na hata kama mmepishana na mwenza what abt sisters, cousin sisters, yule kaka alinywea sana. Sema yule mtaalam akaomba nesi amsaidie.

Familia ni muhimu sana kwa both mwanamke na mwanaume maana kuna maradhi sasa pale hospital inasaidia sana your counterpart akiwepo..amini kwamba. Kuna siku niliingia kumuona mgonjwa flani pale Sewahaji, alikua amekatwa mikono....lakin ni mke wake ndo alikuwa anamsaidia sana. Imagine asingekuepo...hatujafa hatujaumbika, tusipige kelele sana leo kisa tuna uzima..we never know!!!!
 
Kwa hiyo hivyo visa vya kukimbiwa vipo au havipo?
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Mungu ampe afya njema awape nguvu na uweza Madaktari na wauguzi wampatie matibabu bora ktk Jina la Yesu.
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Pole Sana MALKIA KAREN baba ataponaa
Get well soon brother Gardner
 
Kwa hiyo hivyo visa vya kukimbiwa vipo au havipo?
Mkuu visa vya kukimbiwa vipo. Hata hivyo bado kuna umuhimu wa kuwa na mwenza. Mwezi uliyopita nilipata bahati ya kwenda kumuona mzee mmoja aligongwa na gari akavunjika mguu na akapata tatizo la pingili za mgongo. Nilipoenda ndio nilikuta ametimiza miaka minne ya kuuguza mguu lakini haujapona kwa sababu ana kisukari, mgongo angalau kidogo uko vizuri lakini akapata tena tatizo la tezi dume.
Sasa ndugu na marafiki hawapokei tena simu ni mke tu ndio ana muuguza tangu akiwa mwananyamala then muhimbili na sasa ameambiwa arudi tu nyumbani. Mke ndio amekomaa kubaki kumuuguza yaani ni huzuni aisee.
Kwa mtazamo wangu ukiugua ukiwa single hali ni mbaya zaidi kuliko ukiwa na mwenza. Tena uwe single alafu una tatizo la fedha hapo inakuwa ni balaa zaidi.
Tumuombe kila siku Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mke akiumwa huwa anauguzwa na nani?
 
Mkuu Nimeandika hapo neno "mwenza" nikimaanisha either mke or mume. Mkuu inaonekana wewe suala la ndoa hutaki kusikia kabisa.
Usihofu mkuu oa tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Kwanini huwa mnatoa vitisho kwa kusema usipokuwa na mwenza utapata shida in his worst days .

Ila hamtaki kutazama faida za kutoishi na mwanamke .
 
Back
Top Bottom