TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Nafikiri Fred Waa ndiye mtanzania anayeongoza kuutangaza mtandao wa Vodacom! Kama kweli Vodacom wanazo kumbukumbu na wanajali utu watafanya kitu juu ya mwendazake huyu.
Kipindi hicho ilitokea Vodacom wakamiliki vipindi vyote RFA yani Ukiamka asubuhi u akutana na magazeti na Vodacom sijui matukio na Vodacom, msafiri na Vodacom yani mpaka jioni kwa Jumaa Ahamed Baragaza ni mavodacom tuu. Ilikuwa wakati wao na Vodacom hivyo kila mtangazaji aliitangaza sana Vodacom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…