TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Hii Dunia hii,kama ulizaliwa lazima uondoke tu siku ikifika,Swala ni kwa njia gani?
 
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.

Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?

Mzee wa "huu ni ungwana.. la hasha huu si ungwana"..

Rest in peace Br.. mbele yako nyuma yetu[emoji1488]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…