Tatizo bavicha mmejaa ujinga mwingi na hamtaki kusikia maoni ya watu wengine yani mnataka tuwe kama tupo kwenye magroup yenu ya bavicha.Ngoja na mimi nianze kumlia timing
Jamaa alikuwa speed sana labda alikuwa anawahi kipindi alipotaka kukata kona eneo la round about ya Kawe gari ikashindwa ku overcome anti-centripetal force akajikuta mtaroni. Nadhani unaelewa mambo ya circular motion kwenye physics.Ajali yenyewe ilikuwaje, hebu tuelezee boss.
Mkuu watmshikaji zangu wengi walikuwa wanataka lazima wamiliki redio kwa ajili tu ya Fred na Zuberi Msabaha.Niwatonye kidogo.
Nilirundika pesa, nilizokuwa nikipewa za kununulia chai shuleni ili nimiliki redio niweze kuwasikia fred waa, Zuberi msabaha aka Laki sita volt,
Nilifanikiwa lakini leo wewe umetangulia
Rest Easy brother.!
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Daaaaa chalii yangu sana asee..Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)Jamaa alikuwa speed sana labda alikuwa anawahi kipindi alipotaka kukata kona eneo la round about ya Kawe gari ikashindwa ku overcome anti-centripetal force akajikuta mtaroni. Nadhani unaelewa mambo ya circular motion kwenye physics.
Hapo sasa au alikuwa anatembea kwa miguu labdaAjali? Kawe.. Na hiz folen imekuwaje mpka mtu anapata ajali ya kumuua au ilikuwa usiku?
Marehemu alipokuwa mawingu hakuachiwa uhuru wa kutamba kama alivyokuwa RFA, Mawingu walishindwa kutumia kipaji chakeInaonekana alipokuwa Radio Free Afrika ndio alitamba sana kuliko alipohamia Clouds. Maana naona wote wanamkumbuka tu kwa sifa Za free Afrika.
Jamaa alikuwa speed sana labda alikuwa anawahi kipindi alipotaka kukata kona eneo la round about ya Kawe gari ikashindwa ku overcome anti-centripetal force akajikuta mtaroni. Nadhani unaelewa mambo ya circular motion kwenye physics.
Marehemu alipokuwa mawingu hakuachiwa uhuru wa kutamba kama alivyokuwa RFA, Mawingu walishindwa kutumia kipaji chake
Mkuu wakandarasi wa siku hizi round abouts nyingie ama kona hawaziwekei "curve towards centre" ili kurahisisha gari kukunja kona kirahisi hivyo ukijifanya mwamba wa speed unajikuta out of radius control. Angalia mfano round about ya Kawe ipo flat kabisa. Yani sijui hawakusoma circular motion!Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)
Jamaa kakunja kona kwa speed mara kajikuta kwenye mtaro. Nature ya round about ya Kawe siyo ya kuzunguka kichwa kichwa maana barabara imelalia upande wa nje wa radius ya centre. Ukifanya ufala wa speed unajikuta mtaroni ama kule kwenye jengo walilopanga E-FM kama unatokea upande wa Kawe.Mkuu sasa hapa umenieleza hiyo ajali ilivyotokea, au umenirudisha kwenye somo la physics kupitia msiba wa ferdwaa? Acha nikubali tu kuwa hiyo anti-centripetal force ndio imemuaa, lakini haya maelezo yako sio poa kabisaπππ.
Alifuata maslahi RFA inapitia kipindi kigumu cha ukataNadhani hivyo, ila na yeye alifuata nini sehemu aliyofunikwa?
Nimecheka kwa nguvu hapa mpaka watu wameniangalia, hapo kwenye nje ya radius ya centre. Ngoja nishuke kituo kinachofuata kaka maana nauli yangu imeisha. πππJamaa kakunja kona kwa speed mara kajikuta kwenye mtaro. Nature ya round about ya Kawe siyo ya kuzunguka kichwa kichwa maana barabara imelalia upande wa nje wa radius ya centre. Ukifanya ufala wa speed unajikuta mtaroni ama kule kwenye jengo walilopanga E-FM kama unatokea upande wa Kawe.
Ni wa kitambo sana hasa iyo fredwaaa akiwa RFANi wa kituo gani?