100%.Hoja zimekuwa ni nyingi sana juu ya bwana mdogo jonijo kuondoka wasafi,kimsingi binadamu huwa tuna kitu kinaitwa mahitaji na mahitaji ya binadamu yanazalishwa ktk kiwanda cha dream,huenda kijana alikuwa na mahitaji mengi ili atimize dreams zake, issues za kimaslai huenda zilikuwa hazikizi mahitji good for him EFM wakaweka odds nzur yeye ni nani asifuate odds zilizoshiba(human nature).
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo na,kwambia kumtoa mtangazajKivipi? Huyo dozen atawasaidia pia kutengeneza contents kali na ishu ya branding pia na sio kuropoka tu kwa mic
100%Ndo na,kwambia kumtoa mtangazaj
Pale clouds co rahs kama unavodhan
Hakuna wafanyakaz wa media
Wanarlax na freedom ya kutosha kama
Wa clouds kwa bongo hii
stidy
Na bado watakimbia Sana huko, jamaa alikua hot sana ila wasafi wamefanya akaflop..
Sio kazi rahisi kama unavyozaniBado hatamsaidia huyu.
Avunje tu kibubu amung'oe dozen na demu mmoja wapo pale xxl
Itakuwa umemjulia Wasafi weweUmaarufu alionao sasa kaupatia YouTube? Funny [emoji16]
Wewe uliyemjulia Times una kipi cha kusema?
Abood siichukulii poa ila ni Radio ndogo ndogo sana kiongozi.
Inapatikana 101.7 DSM, 106.9 Dodoma, 104.9 Mbeya. Morogoro, Manyara, Iringa, Pwani, Tanga na Zanzibar sikiliza Abood fm kupitia 89.9 fm.
Nenda Manyara, Mbeya, Iringa, Dodoma hata DSM tafuta watu wa kawaida kabisa waulize kuhusu hii Abood fm kama hawatakwambia wanalijua Bus tu tafuta wasikilizaji wa Radio maana watu wengi wa haya maeneo sio wasikilizaji wa Radio nadhani katika watu elfu 500 ni mmoja ama wawili [emoji12]
Abood ni sawa na Dodoma Fm tu haifikii hata umaarufu wa Kings Fm watu wa nyanda za juu kusini watakwambia
Ndio yule jamaa wa bartender?Aisee, ila huyu jamaa anajua sijui kama kipindi cha bartender kitapata mbadala. Kila la kheri Jonijoo babaako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie nashangaa.....Duh hivi Kuna wati bado mnafuatilia tv namna hii!! Mie hata huyo joni simjui kabisaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amewaacha wakiwa ehh ?siyo kweli mzee Kama utakuwa mfatiliaji mzuri wale wazamini wake wote wapo wasafii
So, makampuni yanajua jamaa yupo vizuri kwenye fans kwenye online tv Hadi air time radio
Enough
Ameuza nyumba zake 3 kuwalipa wakina Diamond mkuu(kama alivyofanya harmo).Amelipa Kiasi gan kujitoa Wasafi? Maana Wasafi walitumia hela nyingi Ku Mbrand
Sent using Jamii Forums mobile app