GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.