Naweee huna tofauti, mbona wewe muda wote ni kuisema Yanga. Mbona kina jemedary Said muda wote wanaisema Yanga mbona husemi au sababu huyu kagusa mshono.
Mliambiwa mfanye usajili mka puuzia sasa kila mtu mnagombana nae.
Ni ngumu kuitetea timu mbovu lazima uta dhalilika tu.
Ona jinsi wachambuzi wa mchongo wanavyo dhalilika kuitetetea timu mbovu.
Ona Marefa wanavyo dhalilika kuitetea timu mbovu.
Ona Tff na Bodi ya ligi wanavyo dhalilika mpaka kupelekea mjumbe wa bodi kujiuzuru.
Msipo angalia ata swaumu zenu zita haribiwa na iyo timu.
Ili sakata ili uitetetee timu mbovu ukubali kujitoa ufahamu na kuharibu swaumu yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.