GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Vipi huyu ndiyo Shemeji yetu Kwako au?Kwahiyo unataka watangazaji wote wawe kama Jemedari binti Kazumari kuiponda Yanga na kuwapaka lipstic makolo?
By tbe way kwanini mmeikimbia Yanga? tangu lini Simba wakafanya mazoezi Lupaso one day before derby?
Kwanini mnaficha ukweli?
View attachment 3265661
Anachokitafuta atakipata very soon kutoka kwa Simba SC amuulize yule Mwenzake wa Wasafi FM sasa anapitia baya lipi.Nimemsikia leo, huyo dogo ni mpuuzi sana.
Ndiyo maana Pua zake zimekaa vibaya kama Filimbi za TFF za Refa Arajiga.Dogo yupo kishabiki zaidi
Halafu mbona hata anavyoongea anaonekana ni kama vile ni wale Wanaume ambao Soda zao pendwa zimeisha Gesi?kwasifa hizo hajaingiliwa Bado jicho au bado anafikiliwa akabiwe kwa juu
Mwaka huu utakonda,ushauri hamia Mwananchi.Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.
Kama Wewe ulivyo Charismatic Fool.Huyo si kama charismatic fala
Tulitaka kufukua maiti zenu na vibudu mlivyovifukia...wanga wakubwa nyieKwahiyo unataka watangazaji wote wawe kama Jemedari binti Kazumari kuiponda Yanga na kuwapaka lipstic makolo?
By tbe way kwanini mmeikimbia Yanga? tangu lini Simba wakafanya mazoezi Lupaso one day before derby?
Kwanini mnaficha ukweli?
View attachment 3265661
Umemshahau yule muhindi koko wenu wa kule wasafi...utopolo wana watu bana wa kuwachamba tuu SimbaKiukweli katika waandishi wamenyooka ni Hans Rafael na Farhan japo huyu Farhan alijisema yeye ni kolo anajitahidi sana kubalance habari. Ila sasa likute lile limedari na zee la Jambia yalishashindwa kuficha ujinga wao na wako kwenye payroll ya Simba sio bure.
Yanga hainaga waandishi wala wachambuzi wa kuwapigania mitandaoni kama makolo
Yule hana lolote,Kazumari alimbananisha mpaka kikawa kinabana pua tu wala hakieleweki alichokuwa akisemaHaiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.
Kwani yule jemedari si analipwa pia na simba,na yeye kila siku kuisema yanga tu,mbona sisi hatusemiHaiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.
Alfununu jinunuHaiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi.
Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa Klabu ya Simba SC. Ukiendelea tutakupiga Kipapai Sauti yako Ikauke Milele Amina.
Hiki kibabu kinazeeka vibayaKwahiyo unataka watangazaji wote wawe kama Jemedari binti Kazumari kuiponda Yanga na kuwapaka lipstic makolo?
By tbe way kwanini mmeikimbia Yanga? tangu lini Simba wakafanya mazoezi Lupaso one day before derby?
Kwanini mnaficha ukweli?
View attachment 3265661