Mliambiwa mfanye usajili mka puuzia sasa kila mtu mnagombana nae.
Ni ngumu kuitetea timu mbovu lazima uta dhalilika tu.
Ona jinsi wachambuzi wa mchongo wanavyo dhalilika kuitetetea timu mbovu.
Ona Marefa wanavyo dhalilika kuitetea timu mbovu.
Ona Tff na Bodi ya ligi wanavyo dhalilika mpaka kupelekea mjumbe wa bodi kujiuzuru.
Msipo angalia ata swaumu zenu zita haribiwa na iyo timu.
Ili sakata ili uitetetee timu mbovu ukubali kujitoa ufahamu na kuharibu swaumu yako.