Nick girland
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 291
- 200
Wewe unajua kwanini alimuwakia vile?.Acheni kushabikia mambo ya kijinga, nje ya Simba na Yanga sote ni Watanzania, sote ni binadamu. Alichokifanya Haji si cha kiungwana. Michezo ni furaha na Upendo si uadui.
Kwani ukiulizwa swali ambalo hupaswi kuulizwa namna Bora ya kujibu ni kumtisha mtu.Maswali ya technical unamuuliza Haji??
Haji kazi yake ni PR angemuuliza maswali ya kishabiki zaidi...
Hii phase ya kina Haji na Jerry Muro kufanya press conference badala ya makocha na wachezaji itaisha soon...
Mimi kwa ukweli sijui ila ni baada ya lile swali ndio nimepata ushawishi wa kuangalia nini kilitokea mechi hizo 3 lakini kwa jinsi Manara alivyo panic ni wazi mwandishi alipata alichokitaka alifanyia kazi.Hivi ni kweli mechi tatu za ligi za mwisho yanga aliibuka kinara?.
Kuna sheria au kanuni unamkataza? Au unabwabwaja tuUmeambiwa yupo Clouds.
Ulikuwa unaninukuu mimi au umekosea?Kuna sheria au kanuni unamkataza? Au unabwabwaja tu
Kuharibu mkutano kivipi yani? Kupigwa swali usilolipenda ndo kuharibu mkutano? Acheni ushabiki w kijingaUchaguzi wa TFF umeingiliwa na Siasa, JIWE ndiye alipandikiza wanasiasa na sasa tunakula wa chuya.
1. Karia ni SIMBA.
2. Clouds ina U-YANGA kupita maelezo na ipo wazi.
3. Mwanamke wa clouds ni mwandishi wa gazeti la michezo la Yanga na alikuwa ametumwa kutibua mkutano na taarifa zilikuwa zishamfikia Manara mapema kabisa.
Hajaona ile Clip ya “uwe na Heshima bwana😂😂😂”Kauliza maswali ya Kishamba🤣
Mwenye Shida sio manara ni mtoto wake hajjiTutamlinda Manara kwa gharama yoyote ova
🤣🤣🤣🤣☝️Ningekuwa kusah huyu jamaaa angekuwa anatembelea wheelchair kwa sasa
Kilikuwa kipindi gani? Isijekuwa vipindi vyenu mnaviita shilawaduYuko mmoja wa clouds juzi akawa anamuuliza kusah
Mo j; Nnasikia demu wako aunt ezekiel anadanga
Ningekuwa kusah huyu jamaaa angekuwa anatembelea wheelchair kwa sasa
Hawa waandishi wa bongo wana upumbavu mwingi
Hawako proffesional hata kidogo
Just imagine mtu anakuuliza swali kama hilo alafu anategemea umjibu vizuri eti kisa ni mwandishi wa habari hii si kweli na haifai hata kidogo
Waandishi mbadilike
Tatizo kuu linalosababisha matatizo mengine kwa haji ni hana akili sawasawaHaji Manara Ana Matatizo Mengi Sana.
Sawa mimi mpumbavu unamjua James Nhende aliyekuwa mpiga picha maarufu wa gazeti la Mfanyakazi baadae umauti ukamkuta Tanzania Daima. Nenda maktaba ukasome na ujue kwanini Mogela alimpiga kichwa James. Usikimbilie kutukana tu. James amefariki na msiba wake ulikuwa sinza.We acha upumbavu hamws nhende yupo hai sio marehwmu,anaishi mwanza