PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona aliniambia nawahi kipindi? Nikamwambia ndio. Ni utaratibu mzuri. Hata nilipofika hapa kazini Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu na askari wanne wanapiga doria mtaani. Ni kitu kizuri na iwe endelevu"

Wewe una maoni gani?

1765345586729.png

1765345605193.png

1765345622208.png
 
Nchi ya amani!!
 
Uzuri kikichafuka risasi huwa haichagui umeandamana ama uko ndani!! Rejea kifo cha mtangazaji wao master k.
 
Hawa wangese ndio wanaotukwamisha kwenda nchi ya ahadi

Hawa hawa anaosema wanalinda amani Ndo Hao hao walimuua mfanyakazi mwenzake
 
Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona aliniambia nawahi kipindi? Nikamwambia ndio. Ni utaratibu mzuri. Hata nilipofika hapa kazini Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu na askari wanne wanapiga doria mtaani. Ni kitu kizuri na iwe endelevu"

Wewe una maoni gani?

Amani ni tunda la haki sio tunda la bunduki na vifaru
 
Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu
Hawa nao wameshabomoa na kupoteza kabisa heshima yao iliyojengeka kwa miaka mingi.
Inaonesha hata kazi ya kulinda nchi na mipaka yake watakuwa wamepwaya sana.

Yarudi tu mitaani yasimamie tu usafi wa jiji na kukimbiza vibaka pia kunyoosha mkono wapewe chochote kitu kama hayo mengine.
 
Sina maoni yoyote ila maandamano yamechanya fungueni ITV kimenuka kimara
 
Huyo askari ina maana hamjui pj mpaka amuulize kitambulisho?
 
Ni kazi yao, ilitakiwa iwe hivyo hata kabla ya oct 29.

Sasa hivi unatembea ukichati bila hofu ya vishandu.
Wale wanaovaa sare za shule nao wanakosa ulaji maana wako wengi road.
 
Hawa wangese ndio wanaotukwamisha kwenda nchi ya ahadi

Hawa hawa anaosema wanalinda amani Ndo Hao hao walimuua mfanyakazi mwenzake
Hamjamuelewa huyo.
Anawakejeli, anakusuddia kuwauliza siku zingine walikuwa wapi tunaibiwa na kukabwa wakati wao wapo wa kutosha kutulinda raia na mali zetu?
 
Tongue in cheek !!!!

Kwamba karne hii ya uwepo wa Database na uwezekano wa kuwa na facial reader let alone mtu akikupa namba kuweza kucheki kama yupo kwenye database (hivyo spot checking kuweza kufanyika) tunatumia muda kuanza kuulizana NIDA katikati ya miji ?

Kama sio raia hizo nguvu kwanini tusizipeleke mipakani au kuhakikisha wenyewe wanafaidika na nchi yao badala ya wachache hivyo wao ndio kuwa walinzi namba moja (watabanana huko huko majumbani kwamba fulani sio raia)
 
yaani unashauri iwe endelevu unajuwa jana awajanywa pombe wala kuchepuka ameshinda na njaa juani akiwa amesimama kuanzia asubui mpaka usiku awajazoea ivyo wewe unawatakia mateso yaendelee yote haya ni kwasababu tu ya kumlinda samia ?

Kama hili ndio litakuwa suluhisho ngoja tuone, lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe na si vinginevyo.

Sisi haibadilishi chochote tunaendelea kuwachora tu, na gharama kubwa za kurusha ndege na kuchoma mafuta hovyo ziishe.
 
Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI
wavimba_20251210_062702_0000.png
 
Huyo naye ni kilaza...
Tarehe 29 oct walipoachiwa kdogo wakaingia barabarani, yale maduka ya simu zilizoibiwa, vituo vya mafuta vilivyochomwa na zile barabara zlizochomwa, viwanda vilivyoharibiwa vyote hvyo vilikuwa vya mtu mmoja samia?

SASAIV MKITOA MGUU TU WANAWEKA
 
Back
Top Bottom