Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Vipi utekaji na mauwaji kabla ya maandamano na mapindizi ya utawala aliofanya samia kwa bunduki, kwasababu huna akili huwezi kuona tatizo kuu ni niniHuyo naye ni kilaza...
Tarehe 29 oct walipoachiwa kdogo wakaingia barabarani, yale maduka ya simu zilizoibiwa, vituo vya mafuta vilivyochomwa na zile barabara zlizochomwa, viwanda vilivyoharibiwa vyote hvyo vilikuwa vya mtu mmoja samia?
SASAIV MKITOA MGUU TU WANAWEKA