Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nchi ya amani!!Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona aliniambia nawahi kipindi? Nikamwambia ndio. Ni utaratibu mzuri. Hata nilipofika hapa kazini Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu na askari wanne wanapiga doria mtaani. Ni kitu kizuri na iwe endelevu"
Wewe una maoni gani?
Amani ni tunda la haki sio tunda la bunduki na vifaruMtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona aliniambia nawahi kipindi? Nikamwambia ndio. Ni utaratibu mzuri. Hata nilipofika hapa kazini Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu na askari wanne wanapiga doria mtaani. Ni kitu kizuri na iwe endelevu"
Wewe una maoni gani?
Hawa nao wameshabomoa na kupoteza kabisa heshima yao iliyojengeka kwa miaka mingi.Mikocheni nimekutana na Wanajeshi watatu
Hamjamuelewa huyo.Hawa wangese ndio wanaotukwamisha kwenda nchi ya ahadi
Hawa hawa anaosema wanalinda amani Ndo Hao hao walimuua mfanyakazi mwenzake