TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

😂😂😂😂😂Ila WeWe jamaa ni changamoto.
 
CCM ndo baba wa chuki na visasi..
 
Yaani uko kama mimi kabisa,nililiona hilo na nikamwambia rafiki yangu mbona huyu kaka alikua handsome na afya nzuri mbona namuona muda unavyoenda anapauka,jana yeye ndio alikua wa kwanza kuniambia habari ya msiba.Alikua mtangazaji mzuri sana.May he RIP.
 
Elisha kweli ukimuangalia alikuwa anaumwa zamani alikuwa na SHAVU la kutosha lakini hivi karibuni alipungua sana hadi kichwa unaona mashimo!! Poleni sana ndugu ,jamaa na marafiki........
 
Nimesoma comments hapa, nikasikitika. Siyo kwa sababu mtu kafa. La! Kifo ni amri. Ni kwa jinsi kiongozi wetu mkuu alivyotugawa. Sijui akipewa miaka mingine 5 itakuwaje!
Ni kweli
Comments zinaashiria kuna mgawanyiko mkubwa kuliko tunavyodhani
Kuna historia ya marehemu inaongelewa humu nusu nusu mara ex mume mara akina Lutengano mara akina Rehema sijui wave ya pili etc....

Apumzike kwa Amani
Acha tumalizie kulikomboa Taifa
Umoja utarejea kupitia Lissu
 
Kuna pini moja tbc ipo white hv halafu tall kiaina huwa ionaga ikitangaza aridhio sjui ndio taarifa ya habari ya sku hizi jina nimelisahau

Dah ile manzi ikikata moto nitagalagala kama jiwe anavyo galagala kuomba kura.
Uta tangulia wewe kukata 🔥
 
Pole ndugu, huelewi kitu.
Fox news network si mali ya Serikali ya MAREKANI. Ni chombo binafsi.
TBC inaendeshwa na kodi za watanzania, irregardless of the POLITICAL AFFILIATION . Inapaswa itoe nafasi SAWA kwa wote.
 
Alikimudu kipindi cha TUNATEKELEZA,ila kazi ya kuzunguruka maeneo tofauti yenye hali ya hewa tofauti inahitaji mwili uwe na immunity ngangari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…