DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Nina jamaa angu anaendaga sana south Africa, kuna cku nimemuuliza "Huko south Africa hv mnafanyaga ishu gan?" Jamaa akanijibu WE UNADHAN KUNA ISHU KUBWA YOYOTE YA MAANA NDUGU YANGU ZAID YA UIZIWengine kabla hatujaandika R.I.P hebu tujuze status yake, hakuwa mhalifu?
Huko wabongo wengi wamezamia kwa ajili ya kazi chafu tu na katika taarifa za vifo sijawahi kusikia sababu ya kifo ni maleria au ugonjwa wowote, wengi ni shaba tu.
Kwanini iwe hivyo?
Kwa tuache kusaka mapesa kisa kufa,kama kufa kupo tu ata ungebakia kaliuaMkiambiwa msiende south hamsikii
Mkiambiwa msiende south hamsikii
Tayari Kafara limekubali huko South Africa na leo Yanga SC inashinda huko huko South Africa kwa ama Goli 2 - 0 tena au 1 - 0.
Hiyo picha kapigia Tanga au Capetown?tuanzie hapo kwanza😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭
Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine.
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley.
Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Kwa Tanzania anatokea mkoa wa Tanga.
Mbele yake nyuma yetu.
🙏🙏🙏View attachment 2624595
Cape town machokoroni huko Jo.Hiyo picha kapigia Tanga au Capetown?tuanzie hapo kwanza
Utakuwa kidume kweli kweli, manake uvuke viunzi vingi1. Kutembea / Kutia hovyo Wake za Makaburu ( Wazungu )
Pesa ipo ya aina gani? Kama unataka ya short-cut ya madawa ya kulevya au uhalifu mwingine lazima utapambana na shaba!Sauz sio sehemu ya kuishi kama AKA msauz mwenzao tu alipigwa shaba hadharani itakuwa nyie wageni pesa ipo kweli ila usalama mdogo
Na ni ujinga tu , wanapewa mzigo wanaambiwa kabisa e bana dola 5000 hiyo ulete anaitikia sawa.South si pabaya isipokuwa wale wanaokufa kwa kudunguliwa mtutu wengi ni wauza unga.
Bongo unaweza usife kwa risasi ukafa kwa kugongwa na daladala au kipindupindu. Kifo ni mmojawapo ya gharama za utafutaji.South kupigwa chuma ni dk 0 tu.