Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Hata mimi nimejikuta nabubujikwa na machozi kama wewe antiel 😂😂😂😂😂
 
Wanaume tutamchangia hakika, alikuwa katika kujitetea na kutuletea mema..... wanapitia wakati mgumu sana hawa wasio na shepu.
Ila anazingua - Hataki kutoa bajeti iwe ndo mwongozo. anadhani watu watachangaje? Uzembe huo ndo huo huo uliompeleka Uturuki.
 
Apumzike mahali alipojichagulia,

Hii YOTE ili kuwafurahisha wanaume au Kuna kingine??

Wanaume wanapenda sana wanawake wenye matako that's why sisi tuliopigwa pasi tunakosa utulivu 😭
Mwanamke wa mithali 31. Mwanamke asipojitambua katika dunia hii ni kazi bure. Huoni baby mama wa Diamond (Tanasha) alivyojiharibu mdomo. Kisa?

Kama kweli una japo 20% tu ya sifa za mwanamke wa Mithali 31 basi wewe tayari ni lulu katika shimo la takataka. Halafu uwe unajitambua sasa uwiii! Na upate mwanaume anayeijua thamani yako, mbona dunia yote itakuwa yenu?



➡️➡️➡️ Marehemu apumzike salama. Amefariki akitafuta alichodhani kuwa, kama mwanamke, kingempa furaha na ridhiko. Ambacho hakujua ni kwamba wengi waliofanya haya maoperesheni ya kuongeza makalio wanahangaika kuya-reverse maana yanawaletea matatizo kweli kweli hasa wakigusa huko 40+ (mf. IG: Miss Miami TV). Inavyoonekana side effects zake hazijajulikana sawasawa japo wengi wanalia maumivu makali yasiyokoma; na hata uwezekano mkubwa wa kupata saratani. Ridhikeni tu na Muumba alichowapa jamani!
 
nimecheka sina mbavu jinsi mleta habari alivyohitimisha yale maneno maarufu kunapotokea msiba yameandikwa bila mukhtadha wa tukio lenyewe japo ni msiba. Inna lillahi waina rajium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…