Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
Wote wanao mdhihaki na kumkosoa Mungu,wapatwe na mabaya zaidi ya hilo.
 
Naomba maelekezo nataka kwenda msibani......msiba upo wapi???
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe. Pole ziwafikie familia ya mareemu na marafiki.View attachment 2980499View attachment 2980499
 
Acha kujihesabia haki,ninyi watu mliopandikizwa hizi dini za wazungu na waarabu mnapenda sana kujiona ni wema na huyo mungu wenu kumbe ni ubatili tu,mungu wa biblia na Qur'an ni tafauti sana na Mungu halisi,endelea kujilisha upepo
Haya wewe usiyeamini MUNGU mbona unajipa mamlaka ya kuhukumu hao wanaomuamini MUNGU?
 
Halafu cha ajabu nimeona wanaomba mchango wa $4,500 za kuweza kurudisha mwili TZ.

Yani mtu aende na kiranga chake mwenyewe cha kutaka kumkosoa Mungu halafu ndugu na jamaa waje kuomba msaada wa kurudisha mwili wake.

Ikiwa alikuwa na pesa za kwenda kuweka matako basi lazima itakuwa ana pesa za kutosha kurudisha masalia ya hayo matako.
Wazike hukohuko yaani!
 
Zamani walikuwa wanaweka maji maji fulani hivi yanatengenezwa maabara ukiyatazama utadhani maji ya bamia. Yana rangi ya weupe wa silver. Ila ni ya gharama sana. But wakapata namna nafuu ambayo watu wengi wataweza mudu gharama zake. Wanatumia mafuta hayo kwenye mwiki wako wanayavuta kwa mashine halafu wanaanza kuyainject kwenye maeneo unapotaka pajae shepu.

Ni process ya maumivu kidogo ingawa mteja anawekewa ganzi na nusu kaputi wakati wa kufanyiwa process but its a very tedious and complex process for me.

Sehemu wanapoingiza zile sindano ni kubwa unene wake ni size ya msumali ule mkubwa wa inchi 6 na urefu ile sindano inakuwa kama sentimita 30.

Wanafyonza mafuta ya tumboni, nyuma ya mikono, eneo la mbavu yaani sehemu zote ambazo wanawake hampendi ziwe zimejaa jaa. Halafu yale mafuta yanakuwa standby kwenye mashine ambayo baadae yanatumika sasa kuanza kuyajaza sehemu za matakoni, chini ya matako kwenye hips na kadhalika ili kujaza shape.

Process ikikamilika muhusika hawezi kukalia matako atatakiwa kulalia tumbo kwa muda kidogo akisubiria maumivu yapoe na vidonda kupona na mafuta kublend kwenye host area.

Kudumu kwa matokeo inategemea na clinic iliyofanya operation, client age and health, lakini pia ubora wa dawa za baada ya operation.

Ila kwa sources mbali mbali nilizopitia na kusoma inaonyesha kuwa in a short run inakuwa almost okay but in the long run huwa kuna complications hutokea kama makalio kushuka, implants kureject host area na kuanza kutunga usaa ambao utatakiwa kutolewa through a very painful procedure, ngozi kuwa na constant irritations na hata kuvimba kama allergies, implants kuleta infections na hata kansa au uvimbe, maji maji eneo la host ambayo hutoka kama jasho kuwa na harufu ya kukera au mbaya.
Mmmmh hatarii sana hii ni complex mechanism aiseeee..
Wadada wanapitia mengi kumbe...
 
Back
Top Bottom