Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

Enzi ya JPM mtandao ulikuwa 2G na 3G
Hapa umedanganya tena bila reference huduma ya 4G imeanza hata kabla huyo JPM hajawa rais


, uko slow sana, wakati mwingine
unapotea kabisa
Umeona hiyo attachment kutoka Netblocks na umeielewa?

Huwezi kusema internet ilikuwa "slow" wakati waliokuwepo Tanzania walipopakua VPN mtandao ulikuwa na kasi halafu wakizima VPN mtandao haufungui kitu chochote.


Njoo na majibu ya kueleweka zama za uongo wa JPM ndio zilizamisha taifa hadi watu wakawa wanapika taarifa kumfurahisha bila kujua wanadangaya na madhara yake yamekuja kuonekana baadae.
 
Ndio uende mahakamani ukatoe huo ushahidi ili kumlinda serikali dhalimu ya CCM
Mahakama iko wazi mtu anayeona kuwa hajatendewa haki akafungue shitaka maana mpendwa wake anaonewa sana kwa sababu alishafariki na hana wa kumtetea,basi muda wa utetezi ndiyo huu.
 
Kama wanaingiza chochote kitu kwa kufungua hiyo kesi naona ni sawa tu. Tunaita ujasiriamali. Washinde au wasishinde kwenye hiyo kesi hakutakuwa na madhara yoyote kwa serikali ya awamu ya 6 chini ya Dr Mama Samia. Wananchi wasiwe na hofu.
 
Mahakama zipi sasa? Hivi Tanzania kun
Mahakama ipi sasa? Hivi Tanzania tuna mahakama kweli? Hebu tujiulize kesi ya kina covid19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…