Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu vema,yeye aendelee kutengeneza na kuuza maandazi.Nani anakupotezea muda?. Uwe huru kuendelea na shughuli zako, hakuna atakaye kusumbua.
Kweli kabisa. Alionesha dharau Sana .Hapo sasa.Na huyo naye anastahili kushtakiwa kwa kutokuheshimu Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
Ndio uende mahakamani ukatoe huo ushahidi ili kumlinda serikali dhalimu ya CCMEnzi ya JPM mtandao ulikuwa 2G na 3G, uko slow sana, wakati mwingine unapotea kabisa
Hapa umedanganya tena bila reference huduma ya 4G imeanza hata kabla huyo JPM hajawa raisEnzi ya JPM mtandao ulikuwa 2G na 3G
, uko slow sana, wakati mwingine
Umeona hiyo attachment kutoka Netblocks na umeielewa?unapotea kabisa
Mahakama iko wazi mtu anayeona kuwa hajatendewa haki akafungue shitaka maana mpendwa wake anaonewa sana kwa sababu alishafariki na hana wa kumtetea,basi muda wa utetezi ndiyo huu.Ndio uende mahakamani ukatoe huo ushahidi ili kumlinda serikali dhalimu ya CCM
Tusubiri tuone😁Mahakama ni shina la CCM sina imani hata kidogo
Hakuna loloteTusubiri tuone😁
Hakuna lolote
Kumbe Paschal Mayalla ni mwanasheria. Sikujua hiloPascal Mayalla yeye anaona sawa tu
Ni Mwanasheria mbobezi ila tatizo lake ni kada mtiifu na hapo ndiyo tatizo la taaluma yake linapoingia kwenye mawimbi kwa sababu CCM hupenda watu wajinga wajinga na ili uwe mwanaccm kindakindaki unatakiwa uwe mjinga fulani ili maisha yako yasonge.Kumbe Paschal Mayalla ni mwanasheria. Sikujua hilo
Ndiyo maanake hakuna mahakama hapoKwaio unataka kumaanisha Tito anapoteza muda?😁
Mahakama ipi sasa? Hivi Tanzania tuna mahakama kweli? Hebu tujiulize kesi ya kina covid19.Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama lile lisirudiwe tena kwenye Nchi hii .
Nachukua nafasi hii kumpongeza kijana huyu kwa ujasiri huu, tena bila kuogopa kutekwa, badala ya kunyamaza na kuishia kulalamika kama Kinana na Warioba, yeye ameamua kuchukua hatua
Nakala: Nape Nnauye
SwadaktaNi Mwanasheria mbobezi ila tatizo lake ni kada mtiifu na hapo ndiyo tatizo la taaluma yake linapoingia kwenye mawimbi kwa sababu CCM hupenda watu wajinga wajinga na ili uwe mwanaccm kindakindaki unatakiwa uwe mjinga fulani ili maisha yako yasonge.
😆😆😆Mahakama zipi sasa? Hivi Tanzania kun
Mahakama ipi sasa? Hivi Tanzania tuna mahakama kweli? Hebu tujiulize kesi ya kina covid19.
DaahHuyu mama ndiyo mbaya zaidi, yeye atazima mpk redio.