Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dibaba ni mnoma kweli...ila tuna hope kuwa tutapata medali...Dibaba atashinda....
Sasa hivi amejifungulia milango. World Championship Bronze Medallist sio mtu mdogo, ameingia kwenye historia ya riadha duniani.
Hata Usain Bolt mwaka huu kaishia bronze medal!
Swali zuri sana...Kwanini usiseme huyo mkenya hajafanya uzembe ndiyomaana hajapitwa??
VIVA SIMBU![]()
Mtanzania Alphonce Simbu muda huu kwenye mashindano ya dunia ya riadha ya marathon amefanikiwa kumaliza wa tatu na kujishindia medali ya shaba.
Ikumbukwe kuwa Simbu katika mashindano ya Olympics 2016 alifanikiwa kumaliza wa tano
Mwezi wa kwanza 2017 katika mashindano ya Mumbai Marathon Simbu aliibuka mshindi kwa kumaliza wa kwanza
Katika mashindano hayo ya dunia Mkenya Kirui alishinda kwa kumaliza wa kwanza
Hongera sana Simbu kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania vizuri
Shukran mkuu,Jamaa ametimua mbio yaani nimefurahi sana kuona mtanzania kajaribu namna hii....Simbu amemweza Kipketer wa Kenya ambaye amemaliza ktk nafasi ya nne...Tanzania is now in the medal table...infact most EA nations except Somalia, Burundi and Rwanda are on the medal table...congrats to the man Simbu!!! a true hero
![]()
MasaiHivi ni kabila gani uyu jamaa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mwakyembe bado yupo msibani, wanyakyusa msiba kwa mtu mzima ni mwezi, ukoo wa kichifu miezi sita. Wanyakyusa wanajua kulia we acha bhana!!Hizi mbio si mchezo, simbu anahitaji mapokezi ya heshima na kuandaliwa mazingira ya kushindana mbeleni
Mwakyembe haujafika Airport tu?