Anamtaja mtu aliyetumwa kumuua Zitto kuwa ni Ben Saanane, ambaye aliangusha karatasi ya nailoni iliyokuwa na ungaunga unaosadikiwa kuwa sumu na kuonekana kwa watu waliokuwa eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe pamoja na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Bavicha, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
Sijawahi kukutana naye hata siku moja. Kama nasema uwongo yeye binafsi aje hapa kukanusha
Kwa Zitto muongo?Lakini ben akakomaa kuwa wanafahamiana na wamewahi kukutana.
Anamtaja mtu aliyetumwa kumuua Zitto kuwa ni Ben Saanane, ambaye aliangusha karatasi ya nailoni iliyokuwa na ungaunga unaosadikiwa kuwa sumu na kuonekana kwa watu waliokuwa eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe pamoja na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti wa Bavicha, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
Haya hapa angalieni uongo wa walau mmoja wa wahusika wa stori. Gazeti la Mtanzania linasema Ben Saanane aliangusha sumu na ikaonekana na watu waliokuwepo eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe. Zitto anasema hajawahi kukutana na Ben Saanane na hata wakikutana hatamjua. Sasa nani mkweli na nani muongo, Gazeti Mtanzania/Shonza au Zitto au wote hawa?Mimi binafsi nikikutana na Ben Saanane leo naweza kupishana naye maana sijawi kumwona, wala kukutana naye
Halafu unga wenyewe mwekundu!Haya hapa angalieni uongo wa walau mmoja wa wahusika wa stori. Gazeti la Mtanzania linasema Ben Saanane aliangusha sumu na ikaonekana na watu waliokuwepo eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe. Zitto anasema hajawahi kukutana na Ben Saanane na hata wakikutana hatamjua. Sasa nani mkweli na nani muongo, Gazeti Mtanzania/Shonza au Zitto au wote hawa?
Walikuwa gizani?Alisema wakiwa katika maongezi, huku Saanane akionyesha kuzidiwa na kilevi alichokuwa amekunywa, alitoa bahasha ya kaki yenye fedha ili alipie gharama za vinywaji vya wote ambayo ilidondoka na ndani yake ikatoka karatasi ndogo ya nailoni ikiwa na unga mwekundu.
Yaani miandishi ya habari ya Tanzania kwa sasa inashinda JF kutafuta habari za kuandika kwenye magazeti,
lakini walivyo makanjanja hawaandiki source kuwa ni JF.kwa mitindo hii mtang'olewa meno sana ili waendelee
kutafuta kusingizia CDM na Dr Slaa.
Siasa za bongo bana!