Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ushaambiwa national security. Sasa tafsiri ya uovu ni kwa sababu wahusika hawana sababu ya kusema in details kwa kiasi gani waliona huyo mtu ni tishio at the time.Sawa lakini siyo kwa nia ovu wala kwa siri.
Swaying of public opinion ni national security matter too, ndio maana unaona hata wazungu wakiona Russia Today imezidi propaganda kipindi cha vita ya Ukraine ili kulinda public opinion ya propaganda zao wameifungia.
Sasa wewe unaambiwa achana na haya mambo uelewi utaki kuelewa unajiita kichwa ngumu. Mambo mengine ni ya kujitakia.