Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

Sasa kwanini wanakuwa wanazifuta threads za clients kipumbafpumbaf, au kuna miluki ishamwagwa humu?
Wana responsibility pia ya kutoachia maudhui ambayo wazi ni uzushi (ndio maana kuna threads) uwa wanaziwekea tetesi, kama tahadhari ukweli wa habari una mashaka.

Anyway mimi sio msemaji wao, kuna mod wa jukwaa unaweza mtag kwa majibu ya maswali yako.

Mimi nimerudia tu kauli za Max kwenye interview kadhaa nilizo msikia akijibu kuhusu discretion ya wachangiaji wake. Maelezo yake ni kwamba hata wao hawajui wanatumia encryption.
 
Kimsingi wanayajua sana tuu hususani Wakiwa na interest na wewe so hakuna ulichojificha mbele ya serikali.

Ukitaka kujua Hilo kuwa tishio au wakikuambia acha jambo x ukiendelea ndio Utajua hujui na mbaya zaidi unapigiwa kwenye namba zako za simu unadhani wanakuwa Wametoa wapi?
Umewahi pigiwa au kusikia kuwa kuna mtu amepigiwa na kuhojiwa?
 
Hii sio mara ya kwanza Amsterdam kujaribu kuishitaki serikali hajawai fanikiwa.

Ipe muda ndio utaelewa kwanini kila siku uwa nawaambia Lissu hajui maswala ya mikataba.

Huyo mzungu ana legal contract na anadai unfair dismissal, sasa mimi na wewe hatujui mkataba wake wa kazi hadi atumie ‘vicaruous liability’ kuishitaki kampuni mama.

Swala la Lissu halikadhalika lipo wazi ni purely domestic matter, unamshitaki nani nje ya nchi kwa sheria ipi au mkataba upi wa kimataifa.

Wazungu wameigeuza kesi ya kisiasa kwa sababu tribunal uwa ni private matter. Pattern ya tabia za waingereza inajulikana from the outset yesterday nyuma ya ile article ilikuwa wazi kuna mkono wa serikali ya waingereza kuleta pressure tu Tanzania
Hauna point ya maana zaidi ya kuongea kimihemko alafu inaonekana una chuki sana dhidi ya Lissu,

Kesi haijaanza na haujasikiliza wala kuona ushahidi wa aina yoyotr tayari umeshatoa hukumu kicheani kwako na kushutumu lissu na mwanasheria wake kua hawajui sheria wala mikataba

Wewe kama ni mmoja wa wahusika tulia ulipe gharama za uovu kikombe kitakufikia tu,

Hakuna unachojua cha kumzidi Lissu wanaojua kua anajua kuwazidi kuhusu hiyo mikataba walitaka kumuua wewe kinyamlenge ambae hujawai hata kusimama mahakamani kumtetea hata mwizi wa kuku unakuja hapa kukejeli manguli wa sheria waliokuzidi upeo

Punguza mihemko na ujuaji usio na maana mwisho wa siku utaonekana mjinga
 
Huyu anadhani atamkatisha tamaa Lissu kuendelea na kesi! Kwanza Lissu ni Wakili hivyo kama kuna mapingamizi kama hayo atakuwa anafahamu.
 
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.

Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.

Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.

Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.

Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Kibaraka yupi wa MH.MBOWE yupo tayari Mh.Mbowe akisemwa asitoe neno lolote lisilo na tusi ndani yake.

#AFRICAniMOJA hakuna cha nyenyeee🚮

TUTAFIKA PAHALA TUTAELEWAMA NA KUONGEA LUGHA MOJA.
 
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.

Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.

Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.

Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.

Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Hao vibaraka wake hawatupi shida mana wanatabia za vijana mareshi au mchicha mwtu
 
Kwa umri wangu sijawahi ona jamii ya ovyo kama misukule ya mzee mbowe
 
Hakuna kitu kama hicho,

Magu alikuwa mzalendo, mchapakazi, mwenye Maono, mpenda watu maskini. Katika hayo mema tunamuunga mkono.

Lakini suala la mauwaji ya wasio na hatia, utekaji nk nk, siungi mkono hata kidogo.

HAKI bin HAKI!!
 
Hauna point ya maana zaidi ya kuongea kimihemko alafu inaonekana una chuki sana dhidi ya Lissu,

Kesi haijaanza na haujasikiliza wala kuona ushahidi wa aina yoyotr tayari umeshatoa hukumu kicheani kwako na kushutumu lissu na mwanasheria wake kua hawajui sheria wala mikataba

Wewe kama ni mmoja wa wahusika tulia ulipe gharama za uovu kikombe kitakufikia tu,

Hakuna unachojua cha kumzidi Lissu wanaojua kua anajua kuwazidi kuhusu hiyo mikataba walitaka kumuua wewe kinyamlenge ambae hujawai hata kusimama mahakamani kumtetea hata mwizi wa kuku unakuja hapa kukejeli manguli wa sheria waliokuzidi upeo

Punguza mihemko na ujuaji usio na maana mwisho wa siku utaonekana mjinga
Unapomwambia mtu hajui swala usika unatakiwa uje na counter arguments to justify your position.

IMG_7580.jpeg

Lakini kulaumu watu tu kwa hoja za kutoa kichwani kwako hizo ni hisia nimeandika si chini ya mara moja sheria za national security zinaruhusu wahusika kupata info kutoka source yoyote.

Sasa soma moja hizo sheria hapo juu vyombo vya usalama sio tu vinaweza pata info kutoka popote, Iła pia awalazimiki kutoa hizo info popote hata mahakamani.

Ndio maana hiyo kesi imefanyikia ulaya na huyo mzungu kaishitaki kampuni mama.

Shida yenu wakishawajaza upepo hao watu kwa mambo ambayo amuelewi mnadhani watanzania wote ni gullibles kama nyie.
 
TiGO Tanzania imesajiliwa Tanzania sio uingereza, na Ina operate Tanzania, it’s regulated by Tanzania laws.
Tanzania kuna Laws gani, hizo hizo ambazo serikali yenyewe inazikiuka kila siku, matokeo yake hakuna utawala wa sheria?
Huyo mzungu aishitaki TiGO Tanzania,
Tanzania hakuna mahakama huru, zimegeuka chawa
 
Tanzania kuna Laws gani, hizo hizo ambazo serikali yenyewe inazikiuka kila siku?

Tanzania hakuna mahakama huru, zimegeuka chawa
Unaweza kuwa na arguments, lakini kuna swala la jurisdiction uwezi kujiamkia tu siku moja ukasema unaenda ishitaki serikali unapotaka.

Au kulazimisha upewe info ambazo taratibu zake za upatikanaji zipo chini ya sheria za Tanzania.
 
Sasa tusubiri Amsterdam atatumia sheria gani kuifikisha serikali mahakamani.
 
Vita yake ni internal (psychological), nje anapigana na upepo tu. Unaelewa shambulizi lake sio psychological sio ndogo.

Lakini ukimsikiliza unaona anahitaji intervention na huyo rafiki yake Amsterdam ndio anajaribu kutumia kila njia ya kujinyakulia hela Tanzania kupitia mgongo wa Lissu.

Wataishitaki serikali ya Tanzania nje ya nchi kwa shambulio lake kwa kutumia jurisdiction gani? Au international agreement ipo kwa domestic issues.

Halafu kasoma national security acts za Tanzania kweli karibu zote from 1970’s zinaipa mamlaka ya serikali kupewa access za info katika upelelezi wowote.

Huyo mzungu anadai remedy za unfair dismissal, Lissu yeye anataka kugeuza hiyo case about him.

Mnailaumu TiGO bure as if wana option, serikali ikitaka info zako hakuna kampuni ya simu itazuia. Watanzania mnataka kusema kama vile ilitoa info voluntarily tu.
Hata sheria ya ITU inazipa mamlaka za serikali kuchukua taarifa yoyote toka database za kampuni za mawasiliano duniani hivyo kwa ajili ya upelelezi ndio maana hata mmliki wa Telegram juzi juzi wamemkamata huko France kwa sababu ya kukaidi kutoa taarifa hizo. Sasa ulitegemea Tigo wakatae kutoa taarifa kweli?
 
Wafuasi wa CDM na wale ambao ni anti-government neno la viongozi wa CDM hasa Lissu ni sacred kwao, alitakiwi kupingwa.

Wacha niachane nao kwa sasa.

👋
 
Vita yake ni internal (psychological), nje anapigana na upepo tu. Unaelewa shambulizi lake sio psychological sio ndogo.

Lakini ukimsikiliza unaona anahitaji intervention na huyo rafiki yake Amsterdam ndio anajaribu kutumia kila njia ya kujinyakulia hela Tanzania kupitia mgongo wa Lissu.

Wataishitaki serikali ya Tanzania nje ya nchi kwa shambulio lake kwa kutumia jurisdiction gani? Au international agreement ipo kwa domestic issues.

Halafu kasoma national security acts za Tanzania kweli karibu zote from 1970’s zinaipa mamlaka ya serikali kupewa access za info katika upelelezi wowote.

Huyo mzungu anadai remedy za unfair dismissal, Lissu yeye anataka kugeuza hiyo case about him.

Mnailaumu TiGO bure as if wana option, serikali ikitaka info zako hakuna kampuni ya simu itazuia. Watanzania mnataka kusema kama vile ilitoa info voluntarily tu.
Chief,are you certain that Tigo Tz gave such info to gavoo involuntarily?
 
Kama unajua concept ya universal jurisdiction, usingeweza kuandika hapa mambo ya "vicalicious liability"- acha kuchanganya madesa, ndio maana tunapigwa huko nje na habari za mikataba kwa kuchanganya mambo.

Yafaa ujue ni nini maana ya Universal jurisdiction: The principle of universal jurisdiction provides for a state’s jurisdiction over crimes against international law even when the crimes did not occur on that state's territory, and neither the victim nor perpetrator is a national of that state. The principle allows national courts in third countries to address international crimes occurring abroad, to hold perpetrators criminally liable, and to prevent impunity.

Kama mahakama zetu zimeshindwa, kesi hii ya Lissu yaweza kutumia hiyo principle na mambo yakaendelea kama walivyo mfanyia Milocevic na Charles taylor.

Na kuhusu Vicarious liability: is a legal principle that holds one party responsible for the actions of another party. It's often used in the context of employer-employee relationships, but can also apply to other contractual relationships.

Bilateral investment treaty (BIT): Hizi zinasaidia sana katika ku- enforce awards katika ISDS cases- Hakuna hata moja (ya hizi BiT -popote pale duniani humu) inayosema kwamba makampuni ya nje yatakingiwa kifua na serikali za nchi zao kwa kwa kufanya illegal acts- rejea kesi ya Tuna Bond - Msumbiji- ambapo kampuni moja lilikuwa linatoa mikopo kwa serikali na wananchi wanalipa mikopo hiyo, baada tu ya serikali kubadirika , kesi ikaaenda mahakamani huko huko London na kampuni likaamuliwa kuilipa serikali billions, ( Soma hapa: Mozambique wins court claim over corrupt Tuna Bonds - Spotlight on Corruption) Pia Rejea ni kwa nini serikali ya uingereza haikuikingia kifua BAE systens kuhusu yale mambo ya rada wakati Chenge...BAE Systems ilishitakiwa kwa kukiuka sheria na Tanzania ikarudishwa change ya rada, soma hapa: BAE criticised by UK MPs over Tanzania corruption . Kwa maana nyingine faini waliyopigwa ilizidi bei ya ra radar, Tanzania ni kama ilipewa bule hiyo kitu.

Nacho taka kusema nini? kama Tigo amehusika kwa namna yeyote ile - doctrine ya occupiers liability inamuhusu na huyo Tigo- hawezi kuchomoka... parent company ni la UK, mtoto wake yuko Tanzania, kafanya majambozi ya kutapanya data za watu bila idhini yao- lazima baba/mama yake ahenyeshwe...Sheria za UK zina yang'ata sana makampuni yao ndio maana huyo bwana kakimbilia kwao kuwashitaki kwa kutumia kinga ya whistleblowers-

Public Interest Disclosure Act 1998: Public Interest Disclosure Act 1998

Ujinga walioufanya Tigo sasa utamfanya Lissu kuwa Billionea kwa masihara yao ya kugawa metadata za mtumiaji wa simu ( Lissu- Bila idhini yake). They should have known better.
 
Back
Top Bottom