Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

Sawa lakini siyo kwa nia ovu wala kwa siri.
Ushaambiwa national security. Sasa tafsiri ya uovu ni kwa sababu wahusika hawana sababu ya kusema in details kwa kiasi gani waliona huyo mtu ni tishio at the time.

Swaying of public opinion ni national security matter too, ndio maana unaona hata wazungu wakiona Russia Today imezidi propaganda kipindi cha vita ya Ukraine ili kulinda public opinion ya propaganda zao wameifungia.

Sasa wewe unaambiwa achana na haya mambo uelewi utaki kuelewa unajiita kichwa ngumu. Mambo mengine ni ya kujitakia.
 
Hilo haliwezekani, kambi ya mwendazake ipo busy na 2025, na vita ipo ndani ya chama chao.

Chuki dhidi ya upinzani ipo na itakuwepo siku zote, hiyo ni asili ya siasa.
 
Kama kuna mtu kaielewa hii stori naomba anisamarie.
 
Vipi kuhusu Mello na Jamii Forums mbona serikali inawasaka ninyi wenye ID fake lakini inashindikana?
Labda we mwenzangu ndio siri, sisi wengine washatuuza kitambo only that we are not persons of interest kwao. .

Halafu kwa Melo that has nothing to do with national security, zaidi ya ubabe tu.

Additionally JF wana akili washaweka limited liability ya contents zinachongawia ukisoma rules zao hawausiki na contents za wachangiaji.

Pili wana discreet rules ya wachangiaji, basically hawana legal responsibility ya content za JF.
 
Tofautisheni upelelezi wa jinai za polisi; na national security laws.
 
Nina hakika kama wote wenye ID fake wakifahamu au kuambiwa majina yao halisi yatawekwa wazi kwa polisi ndiyo siku ambayo Jamii Forums itaanza kukosa wachangiaji kuhusu serikali na viongozi wake!
 
Nina hakika kama wote wenye ID fake wakifahamu au kuambiwa majina yao halisi yatawekwa wazi kwa polisi ndiyo siku ambayo Jamii Forums itaanza kukosa wachangiaji kuhusu serikali na viongozi wake!
JamiiForums imechukua kila hatua ya kuzuia hata wao kuwajua members. Nadhani hata IP Addresses za wachangiaji siku hizi hawaoni.

Halafu kama nilivyokwambia wana exclusion clauses (limited liability ya contents) za wachangiaji. Mbona hayo mambo Maxence kayaongelea mara kadhaa kwenye interview zake.

Sasa Max atataja watu ambao hawajui.
 
Nina hakika kama wote wenye ID fake wakifahamu au kuambiwa majina yao halisi yatawekwa wazi kwa polisi ndiyo siku ambayo Jamii Forums itaanza kukosa wachangiaji kuhusu serikali na viongozi wake!
Kimsingi wanayajua sana tuu hususani Wakiwa na interest na wewe so hakuna ulichojificha mbele ya serikali.

Ukitaka kujua Hilo kuwa tishio au wakikuambia acha jambo x ukiendelea ndio Utajua hujui na mbaya zaidi unapigiwa kwenye namba zako za simu unadhani wanakuwa Wametoa wapi?
 
Wewe hauna unachokijua cha kuwazidi hao wanasheria wa nje na Lissu, mpaka wamefikia hatua hiyo jua wana ushahidi wa kutosha kufanya hivyo watu hawafanyi vitu kwa kukurupuka

Punguza ujuaji Kwa usichokijua hizo siyo mahakama za kisutu kwenda chemba kupiga simu kupata maelekezo toka juu
 
Hii sio mara ya kwanza Amsterdam kujaribu kuishitaki serikali hajawai fanikiwa.

Ipe muda ndio utaelewa kwanini kila siku uwa nawaambia Lissu hajui maswala ya mikataba.

Huyo mzungu ana legal contract na anadai unfair dismissal, sasa mimi na wewe hatujui mkataba wake wa kazi hadi atumie ‘vicaruous liability’ kuishitaki kampuni mama.

Swala la Lissu halikadhalika lipo wazi ni purely domestic matter, unamshitaki nani nje ya nchi kwa sheria ipi au mkataba upi wa kimataifa.

Wazungu wameigeuza kesi ya kisiasa kwa sababu tribunal uwa ni private matter. Pattern ya tabia za waingereza inajulikana from the outset yesterday nyuma ya ile article ilikuwa wazi kuna mkono wa serikali ya waingereza kuleta pressure tu Tanzania
 
hayo yote yanafahamika nakila kitu kinaenda vizuri
 
Sasa kwanini wanakuwa wanazifuta threads za clients kipumbafpumbaf, au kuna miluki ishamwagwa humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…